TAZAMA CHENI TV KILA SIKU UHABARIKE,UELIMIKE NA UBURUDIKE
BOFYA HAPA KUITAZAMANISIKUCHOSHE BOFYA TU HAPA CHINI
View ArticleWATOTO WA LUCKY VINCENT WAONDOKA MAREKANI KUJA TANZANIA KUPOKELEWA KIA KESHO
WATOTO watatu wa Shule ya Msingi Lucky Vincent waliokuwa majeruhi wa ajali iliyotokea Karatu na kwenda kutibiwa nchini Marekani, watawasili kesho asubuhi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
View ArticleMAMIA WALIOFARIKI KWA MAPOROMOKO, SIERRA LEONE WAZIKWA
Uokoaji wa miili ya watu waliofukiwa kwenye maporoko ukiendelea.WIZARA ya Afya nchini Sierra Leone imesema takriban nusu ya maiti 400 zitokanazo na maporomoko ya udongo na mafuriko nje ya mji wa...
View ArticleSTAA IDRISS SULTAN AWAPA MAKAVU WADADA WANAOPIGA PICHA ZA UCHI NA KUJIITA MAMODO
By @idrissultan - "Respect our models, sio kila mdada aliye kaa kaa uchi tu anaitwa model .. Flaviana is a model, Herieth Paul is a Model, Millen is a model, Maggie Vampire is a model, Niler is a...
View ArticleSIMBA WATOKA SARE NA MLANDEGE YA ZANZIBAR
Timu ya Simba SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mlandege katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku wa leo.Mlandege ambayo ilifungwa 2-0 na mabingwa wa Ligi...
View ArticleGODZILLA AUKATAA USHAURI WA CHID BENZ
Rapper Godzilla anaokena kuchukulia poa ushauri wa Chid Benz aliyemtaka kuacha kutumia lugha ya kingereza katika ngoma zake.Kipindi cha nyuma Chid Benz alieleza kuwa anapenda anachofanya Godzilla...
View ArticleBARAKAH DA PRINCE ANYANG’ANYWA AKAUNTI YA YOUTUBE NA ROCKSTAR4000
Msanii wa muziki, Barakah The Prince ameanza maisha yake mapya akiwa na label yake ya Bana Music ikiwa ni miezi michache toka aachane na label ya RockStar4000 iliyokuwa ikimsimamia.Muimbaji huyo...
View ArticleHII HAPA NDIO SABABU YA NAWAL KUFUTA TATTOO YA NUH MZIWANDA
Nawal na mumewe mpya.Baada ya Jini Mkatakamba kuipitia ndoa ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, aliyekuwa mkewe Nawal amefunguka kuwa yupo katika harakati za kuifuta tattoo ya Nuh aliyoichora...
View ArticleMSICHANA ALIYEJERUHIWA NA MKE WA RAIS MUGABE APIGIWA MAGOTI
Familia ya mwanamke aliyedaiwa kushambuliwa na Bi Grace Mugabe imedaiwa kufuatwa na kuombwa na mtu asiyejulikana kukubali fedha kama fidia ya kutupilia mbali kesi hiyo, wakili wake amesema.Familia...
View ArticleWATOTO WA LUCKY VICENT WALIOWASILI LEO KUTOKA MAREKANI WAWALIZA WATANZANIA...
Wazazi, watoto na watu mbali mbali wameshindwa kujizuia na kumwaga chozi walipokuwa wakiwapokea watoto Sadia Ismail, Doreen Eribariki na Wilson Tarimo, ambao wamerejea rasmi nchini wakitokea nchini...
View ArticleMadee Awapigia Magoti Jack Wolper na Lulu Michael Kwa Kuwatengeneza Katuni...
Msanii wa muziki Madee amemuomba radhi Jacqueline Wolper baada ya kumhusisha kwenye video yake ya wimbo ‘Sikila’ bila makubaliano. Pia rais huyo wa Manzese amedai yule anayeonekana akicheza na Tekno ni...
View ArticleTFF YATANGAZA VIINGILIO VYA MCHEZO WA SOKA UNAOSUBIRIWA KWA HAMU JUMATANO
Soka hili la Yanga na Simba litapigwa Tarehe 23/8/2017 Uwanja wa Taifa Dar.
View Article