INASIKITISHA:Mrembo Huyu Ameuwawa na Mpenzi Wake na Kisa Mapenzi
KIJaNa mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, anadaiwa kumtoboa macho mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Maria Pius kisha kumuua kikatili na kuutupa mwili wake kichakani.KISIKIE...
View ArticleTunawashukuru wote kwa maombi yenu- Manusura Lucky Vicent
Watoto watatu wa shule ya msingi ya Lucky Vicent ambao walinusurika katika ajali ya shule hiyo ya jijini Arusha waliopelekwa nchini Marekani kutibiwa wamerejea nchini jana na kusema wanamshukuru Mungu...
View ArticleJB:Naachana na filamu na kuwaachia vijana ili nitunze heshima yangu
MSANII mkongwe wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ametangaza kujiengua katika uigizaji na sasa ameanzisha Taasisi ya Barazani Entertainment ili kulinda heshima yake.Katika mahojiano maalum katikati ya...
View ArticleMAGAZETI YA LEO TANZANIA JUMAPILI AGOSTI 20,2017
Magazetini leo Jumapili August 20,2017
View ArticleHIVI NDIVYO WATOTO LUCKY VINCENT WALIVYOPOKELEWA SHULENI KWAO
Wanafunzi wa Lucky Vincent wakiwa wameketi wakati wa kuwapokea wenzao watatu.Kutokea katika Shule ya Lucky Vincent, Karatu ikiwa ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao...
View ArticleMAKONDA ALIONGEZEA NGUVU SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akikabidhi msaada wa Gari aina ya Noah, Pikipiki Tatu, Computer Tano na Camera Mbili za kisasa kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC...
View ArticleMke wa Rais Mugabe Awakimbia Polisi Afrika Kusini
Vyombo vya habari nchini Zimbabwe vimeripoti kuwa mke wa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, Bi Grace Mugabe amerejea nchini humo kutoka Afrika Kusini licha ya kutafutwa na jeshi la polisi kujibu...
View ArticleHUU NDIO UJUMBEE WA MO DEWJI MUDA MCHACHE BAADA YA WANACHAMA 1216 WA SIMBA...
Mfanyabiashara na bilionea w 16 Afrika Mohammed Dewji ni mmoja kati ya wanachama wa Simba SC ambao wanaunga mkono mabadiliko ya uendeshaji wa club ya Simba SC kutoka mfumo wa sasa na kuingia mfumo wa...
View ArticleWANACHAMA wa Simba Waamua Kuendesha Simba Kwa Mfumo wa Hisa...Hichi Ndio...
Wanachama 1,216 wa klabu ya Simba, leo wamepitisha uamuzi wa klabu yao kuanza kuendeshwa kwa mfumo wa hisa.Mwanachama mmoja pekee katika mkutano huo, ndiye alionyesha hisia zake kwa kupinga mfumo...
View Article“Unajiita Boss Lady, halafu unaishi nyumba ya kupanga…” – Shilole
Kupitia kurasa za Instagram leo August 21, 2017 mwimbaji Shilole amefunguka kuhusu wanawake wanaojiita maboss Lady lakini hawana kitu huku wakiazima magari na kuishi kwenye nyumba za kupanga.Shilole...
View Article“Unajiita Boss Lady, halafu unaishi nyumba ya kupanga…” – Shilole
Kupitia kurasa za Instagram leo August 21, 2017 mwimbaji Shilole amefunguka kuhusu wanawake wanaojiita maboss Lady lakini hawana kitu huku wakiazima magari na kuishi kwenye nyumba za kupanga.Shilole...
View Article“Unajiita Boss Lady, halafu unaishi nyumba ya kupanga…” – Shilole
Kupitia kurasa za Instagram leo August 21, 2017 mwimbaji Shilole amefunguka kuhusu wanawake wanaojiita maboss Lady lakini hawana kitu huku wakiazima magari na kuishi kwenye nyumba za kupanga.Shilole...
View ArticlePicha: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akiwa Shambani Kwake Chalinze
Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.Rais Kikwete...
View ArticleSiku nikifa wanaonichukia wataomba msamaha kwenye jeneza- Steve Nyerere
Mchekeshaji Steve Nyerere mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi ,amefungua akisema kuwa siku akifa wanao mchukia hawataamini na watamuomba msamaha akiwa kwenye jeneza.Steve kupitia...
View Article