Kupitia kurasa za Instagram leo August 21, 2017 mwimbaji Shilole amefunguka kuhusu wanawake wanaojiita maboss Lady lakini hawana kitu huku wakiazima magari na kuishi kwenye nyumba za kupanga.
Shilole ameandika>>>“Pale unapojiita boss lady wakati unakaa nyumba ya kupanga na nagari ya kuazima! Mnanichoshaga nyinyi ![😂]()
![😂]()
![😂]()
hebu watagi maboss lady uchwala tuwape vidonge vyaoooo bila kusahau link ya video ya kigori ipo kwa bio yangu” – Shilole.