Daktari ‘feki’ wa Muhimbili, anaswa tena Hospitali ya Amana
Mkaazi wa jiji la Dar es Salaam, Abdallah Juma aliyewahi kukamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akidaiwa kujifanya daktari amenaswa tena katika Hospitali ya Rufaa ya Amana kwa kufanya...
View ArticleBreaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amekamatwa leo Jumatatu mchana akitokea Mahakama ya Kisutu.Mwanasheria huyo alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi...
View ArticleMKUU WA MKOA WA ARUSHA ALIPOKUTANA NA WATOTO WALIORUDI KUTOKA MATIBABU MAREKANI
Mrisho Gambo"Leo nimekutana na familia za watoto Sadhia, Doreen na Wilson ambao wametoka matibabu Marekani. Aidha, tumewakabidhi 7,750,000 kila familia ili ziendelee kuwasaidia kuwahudumia watoto wetu...
View ArticleMPANGAJI AMJERUHI VIBAYA MTOTO WA MWENYE NYUMBA
Mtoto wa mwenye nyumba, Aidath Ramadhani .Mwanadada ambaye ni mpangaji aliyetajwa kwa jina la Magdalena Chata, anadaiwa kumsulubu mtoto wa mwenye nyumba, Aidath Ramadhani ambaye aliachiwa mamlaka ya...
View ArticleBREAKING NEWZZ:SIMBA WASHINDA KWA PENATI 5-4 DHIDI YA YANGA NGAO YA JAMII
Rais wa TFF, Wallace Karia na Makamu wake Michael Wambura wakifurahia baada ya kumkabidhi Ngao ya Jamii Nahodha wa Simba, Method Mwanjale baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penari 5-4 kaika...
View ArticleKesi Inayomkabili Scopion Yashindwa Kuendelea Leo
Kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kujeruhi inayomkabili Salum Njwete (31) maarufu kama Scorpion, imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayesikiliza shauri hilo Flora Haule kuwa na udhuru.Kesi...
View ArticleSteve Nyerere Awakanya Vikali Ali Kiba na Diamond...Adai Wamegusa Pabaya....
Msanii wa filamu Bongo, Steve Nyerere ametoa ushauri kwa kile kinachoendelea kati ya Diamond Platnumz, Alikiba na Ommy Dimpoz kwenye mitandao ya kijamii.Wasanii hawa wa Bongo Flava wamekuwa wakitupiana...
View ArticleKesi Inayomkabili Mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent Bado Nzito
Mahakama ya ya Wilaya ya Arumeru imehairisha kesi inayomkabili mmiliki wa Shule ya Lucky Vicent, Innocent Moshi hadi Septemba 11 mwaka huu huku Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo Desdery Kamugisha akitoa...
View ArticleWaliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 Awamu ya Pili kwa mwaka 2017
Tafadhali angalia hapo chini Kujua Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano kwa Awamu ya Pili kwa mwaka 2017.
View ArticleMATONYA ATOA YA MOYONI BAADA YA WCB KUTUMIA JINA LA WIMBO WAKE ‘ZILIPENDWA’
Wasanii wa record labe la WCB wakiongozwa na Diamond Platnumz waliachia video mpya ya wimbo wao wa pamoja kwa mara ya kwanza, wimbo huo ambao unaitwa ‘Zilipendwa’ umefanana jina na wimbo wa zamani wa...
View ArticleHIZI HAPA PICHA ZA UZINDUZI WA MUVI YA WEMA SEPETU
Usiku wa August 26, 2017 Mliman City Dar es salaam kulikua na uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wa Bongo kama Aunty Ezekiel, Haruna Niyonzima na...
View Article