TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba
Baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kuomba radhi kwa kutoa Ngao ya Hisani kwa Simba iliyokuwa na makosa ya kiuandishi, leo shirikisho hilo limeonesha na kutangaza kuitengenezea Ngao mpya Simba...
View ArticleWalimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi
Walimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili...
View ArticleMahujaji walioshindwa kwenda ibada ya Hijja kurudishiwa pesa zao
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally amesema pesa za mahujaji wote walioshindwa kwenda katika ibada ya Hijja zitarejeshwa ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo.Sheikh Zubeiry...
View ArticleMahujaji 35 Wafariki Makkah Siku ya Kwanza ya Hijja
Wizara ya Afya ya nchini Misri imeeleza kuwa Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa. Afisa mmoja...
View ArticlePOLISI WAMPIGA RISASI NJIWA ANAYETUMIKA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA NDANI YA...
 Polisi nchini Argentina wamempiga risasi njiwa ambaye anatumiwa kusafirisha dawa za kulevya kupeleka kwa wafungwa gerezani. Njiwa huyo alionekana akiruka hadi uwanja wa gereza moja lililo mji wa Santa...
View ArticleYaliyojiri mahakamani kesi ya Manji
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake watatu wahojiwe na Polisi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili.Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu na Hakimu Mkazi...
View ArticleSahau kuibiwa au simu yako kuishiwa chaji ukiwa na begi hili la kijanja
Kadri dunia inavyozidi kwenda utagundua kuwa watu wengi wanauhitaji mkubwa wa kubeba mizigo yao kutoka kwenye maeneo ya kazi ikiwemo vitendea kazi kama Laptop, Nguo za kazini kama sare, muda mwingine...
View ArticleBARUA YA OBAMA KWENDA KWA TRUMP
Barua aliyoandika Rais wa 44 nchini Marekani Barack Obama, kwenda kwa Rais wa sasa wa nchini humo  Donald Trump kabla ya kuhama Ikulu ya nchini humo yapatikana.Barua hiyo imeonyeshwa kwa mara ya kwanza...
View ArticleKIFAHAMU KIKOSI CHA MPIRA GHALI ZAIDI DUNIANI KWA SASA.
Klabu ya Paris Saint-Germain ndiyo timu pekee iliyotumia fedha nyingi kusajili duniani baada ya kutua kwa Kylian Mbappe kutoka Monaco kunafanya kikosi chao cha kwanza XI kuwa cha thamani ya euro...
View ArticleKAMPENI YA UZALENDO KWANZA YAZINDULIWA JIJINI DAR,KUHAMASISHWA NCHI NZIMA
 Mwenyekiti wa Kampeni ya Uzalendo Kwanza, Steven Mengele almaarufu kwa jina la kisanii Steven Nyerere, akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo jijini Dar kuhusina na...
View ArticleHuu Hapa Ushauri wa Ali Kiba Kwa Bongo Movie
Msanii Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Seduce me' ameamisha mashambulizi yake upande wa bongo movie na kuwaambia hali mbaya waliyokuwa nayo katika kipindi hiki ni kutokana na...
View ArticleBREAKING NEWZZ: Viongozi wanne wa CUF wamefariki kwenye ajali wakitokea Dodoma
Stori iliyonifikia asubuhi hii ya Jumatano September 6, 2017 ni kwamba Viongozi wanne wa Chama cha Wananchi CUF wanaomuunga mkono Profesa Ibrahim Lipumba wamefariki dunia baada ya msafara wao kupata...
View Article