INASIKITISHA SANAA:Watoto Wawili Waliotekwa Arusha Wapatikana Wamekufa Kwenye...
Arusha. Miili ya watoto wawili ambayo haijatambuliwa imeopolewa shimoni eneo la Mji Mpya katika Mtaa wa Olkerian jijini Arusha.Mwenyekiti wa mtaa huo, uliopo Kata ya Olasiti, Daudi Safari amethibitisha...
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi Kenya Yatoa Taarifa Mpya ya Mabadiriko ya Uchaguzi...
Saa kadhaa baada ya kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga kutangaza kutoshiriki katika marudio ya Uchaguzi Mkuu mpaka Tume ya Uchaguzi ifanyiwe mabadiliko, sasa taarifa inasema Tume hiyo imetangaza...
View ArticleTatizo la Nguvu za Kiume Latua Bungeni
Sakata la upungufu wa nguvu za kiume ambalo limekuwa changamoto kubwa kwa baadhi ya wanaume miaka ya sasa, limeibua sintofahamu bungeni baada ya mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF) kutaka kujua...
View ArticleBREAKING NEWS: Kijana wa Miaka 18 Aliyekamatwa Kwa Tuhuma ya Utekaji na Uuaji...
Mtuhumiwa wa utekaji watoto Arusha, Samson Peter  amefariki kwa kupigwa risasi akijaribu kuwakimbia polisi, leo jijini Arusha.Samson Peter alikamatwa usiku wa tarehe 2, mwezi huu baada ya timu maalumu...
View ArticleTundu Lissu Apelekwa Nairobi kwa Matibabu
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma usiku wa kuamkia leo kwenda Nairobi kwa ajili ya matibabu.Lissu alijeruhiwa jana akiwa kwenye gari nyumbani kwake...
View ArticleMAASKOFU KURUDISHA FEDHA ZA MGAO WA ESCROW
Askofu Msaidizi jimbo la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini pamoja na Mhashamu Eusebius Nzigilwa wa jimbo kuu katoliki la Dar es salaam wamefunguka na kutoa taarifa kuwa wameamua kurudisha mgao wa fedha...
View ArticleWasanii wa Bongofleva kwenye msiba wa mtoto aliyeuawa Arusha
Ijumaa September 8, 2017 mastaa mbalibali pamoja na viongozi wa Mkoa wa Arusha wakiongozwa na RC Mrisho Gambo wameuaga mwili wa mtoto Maurine David Njau ambaye aliuawa na mwili wake kutumbukizwa kwenye...
View ArticleMWINGINE APIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA DAR...RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi JBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI
Katika hali ya kuchekesha kama si ya kushangaza hivi karibuni, mwanamke mmoja huko Texas nchini Marekani aitwaye Toscha Fay Sponsler mwenye umri wa miaka 33 aliyekuwa amekamatwa na polisi na kufungwa...
View Article