PICHA: Rais Magufuli Alivyo Agana na RC Wa Dar Paul Makonda na Kuelekea Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. JohnPombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu...
View ArticleJAJI MKUU ALIYEFUTA UCHAGUZI KENYA AFUNGUKA KUHUSU VITISHO
Jaji Mkuu wa Kenya, David Maranga amesema tangu kutolewa kwa uamuzi wa kubatilisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, mhimili huo umekuwa ukitishiwa.Kupitia tamko lake kwa umma, Jaji Maranga...
View ArticleZARI THE BOSS LADY AONYA SAKATA LA DIAMOND KUZAA NA HAMISA MOBETO
Sakata la Diamond na mwanamitindo Hamisa Mobetto limechukua sura mpya baada ya Zari kujibu mapigo katika mtandao wa Snapchat akionya asihusishwe.Awali katika maelezo yake mwanamuziki Diamond amesema...
View ArticleMAGAZETI YA LEO ALHAMIS SEPTEMBA 21,2017 - NDANI NA NJE YA TANZANIA
Magazetini leo Alhamis Septemba 21,2017
View ArticleNdege za kijeshi za Marekani zapaa karibu na Korea Kaskazini kuonyesha ubabe
Ndege za kijeshi za Marekani zimepaa karibu na pwani ya mashariki ya Korea Kaskazini katika kuonyesha ubabe wa kivita, idara ya ulinzi nchini Marekani pentagon imesema.''Hatua hiyo ni kuonyesha kuwa...
View ArticleBasi La Tashriff Lililokuwa Likitoka Tanga kwenda Dar Laungua Kwa Moto
Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Tanga kuelekea Jijini Dar es salaam wamenusurika kufa baada ya basi walilokuwa wamepanda la kampuni ya Tashriff kuteketea kwa moto.Kwa mujibu habari ambazo...
View ArticleMoto Wateketeza Nyumba za POLISI Jijini Arusha
Takribani familia 13 zenye jumla ya watu 44 za Polisi zimekosa makazi baada ya nyumba walizokuwa wakiishi kuteketea kwa moto jana usiku majira ya saa moja.Nyumba hizo wanazoishi polisi zilizopo katika...
View ArticleRais Magufuli Atoa Milioni 260 kwa Ajili ya Ujenzi wa Nyumba za Polisi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewasili eneo la nyumba za polisi zilizoteketekea kwa moto.Nyumba hizo zilizopo Kata ya Sekei ziliteketea kwa moto jana Jumatano usiku.IGP Sirro amesema...
View ArticleAli Kiba Afunguka Picha Zilizovuja Mtandaoni Akiwa na Mrembo Kitandani
BAADA ya picha kadhaa kutembea katika mitandao ya kijamii ikimuonesha Ali Kiba akiwa na mrembo mmoja picha ikionesha wakiwa kitandani.Watu walianza kudai kuwa mrembo huyo atakuwa mpenzi wake mpya...
View ArticleHii Hapa Sababu ya Obama Kutokwa na machozi
Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema kuwa hakuweza kuzuia machozi yake alipomfikisha mwanawe mkubwa Malia katika chuo kikuu.Ilikuwa kama ''upasuaiji uliofanyika hadharani'', rais huyo wa...
View Article