Hii Hapa Video ya Kijana Aliyejirusha Ghorofani Kama Mchezo Lakini Akaumia...
Ruzo Boniface Amlima amefariki dunia baada ya kujirusha toka ghorofa ya 13 wakati akizindua mchezo wa kujirusha toka ghorofani.Huu ni mchezo mpya hapa Tanzania na aliyefariki ndiye kiongozi muasisi wa...
View ArticleJeshi la Uganda latoa tamko kuhusu ‘mapigano’ bungeni
Jeshi la Uganda limezungumzia hatua iliyochukuliwa na vyombo vya usalama kuwaondoa kwa nguvu wabunge waliotimuliwa bungeni na Spika, Rebbeka Kagada, Jumatano wiki hii.Akizungumzia uamuzi huo, Jenerali...
View ArticleZari aanika ukweli wote kuhusu Diamond
Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady amefunguka na kudai kuwa yeye na mpenzi wake huyo hawajaachana.Akiongea katika U-Heard ya Clouds FM, Zari amedai kuwa...
View ArticleMugabe adaiwa kukubali kujiuzulu kwa masharti kuwa yeye na mkewe wapewe...
Rais Robert Mugabe amekubali kung’atuka na kwamba ameshaandaa barua ya kujiuzulu, shirika la utangazaji la CNN limeambiwa na chanzo kilichokaribu na timu ya majadiliano upande mmoja wakiwemo majenerali...
View ArticleMagazeti ya Leo Tanzania Jumanne ya Novemba 21,2017
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleBreaking News:Jengo la Studio za Clouds Media Group Linaungua Moto
Sehemu ya jengo la kituo cha Chouds Media Group linaungua moto muda huu. Juhudi za kuuzima moto huo bado zinaendelea.
View ArticleHamisa Mobetto Atikisa na Filamu Yake ya Zero Player
FILAMU ya mwanamitindo Hamisa Mobeto iliyozinduliwa wiki iliyopita, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Suncrest Cineplex uliopo ndani ya Quality Center, uliopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es...
View ArticleIrene Uwoya Aondoka na Baraka Zote Kutoka kwa Baba Mzazi wa Marehemu...
MSANII wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameagwa kwa maombi na baba mzazi wa aliyekuwa mumewe, Hamad Ndikumana,….. na kushukuru kwa baraka hizo jambo lililovuta na kuteka hisia za watu wengi.Katika...
View ArticleTANESCO yatekeleza agizo la Rais Magufuli..... Yaanza kubomoa jengo lake kwa...
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) umesema umeanza utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kubomoa jengo lake lililo ndani ya hifadhi ya barabara eneo la Ubungo jijini Dar es...
View ArticleSerikali ya Zimbabwe Yatangaza siku ya kuzaliwa Rais Mugabe, Februari 21 kuwa...
Serikali ya Zimbabwe imetangaza siku kuu mpya ya kukumbuka mchango wa Robert Mugabe ambaye aliondolewa madarakani wiki iliyopita.Gazeti la serikali la Herald limesema sikukuu hiyo itakuwa ikiadhimishwa...
View Article