Swahiba Amtandika Mshale Na Kumuua Rafiki Yake Kisa Deni la Sh, 4,000
Mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa katika Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara, Paul Juma (38), ameuawa kwa kuchomwa mshale na rafiki yake, baada ya kutokea ugomvi kati yao.Inadaiwa ugomvi huo ulitokana na...
View ArticleRais Magufuli awasilisha fomu inayotaja mali na madeni yake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2017 amewasilisha fomu yake ya tamko kuhusu rasilimali na madeni katika ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya...
View ArticleGabo kufungua mwaka 2018 na tamthilia ya ‘Kapuni’
Msanii wa filamu, Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amejipanga kwa ajili ya mwakani kuja kivingine anasema amekuwa akipata maombi mengi na maoni kutoka kwa wapenzi wa kazi zake kuwa mbona haonekani katika...
View ArticleBAKWATA Yatangaza Mabadiliko....Viongozi Wote Watapatikana kwa Kuteulliwa na...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limefanya mabadiliko ya upatikanaji wa viongozi kwa nchi nzima kuanzia ngazi ya Masheikh wa wilaya, mikoa na...
View ArticleRais wa zamani wa Korea Kusini amehukumiwa miaka 24 jela
Rais wa zamani wa Korea Kusini Park Geun-hye, amehukumiwa miaka 24 jela baada ya kukutwa na hatia katika matumizi mabaya ya madaraka na kusababisha nchi kushuka kiuchumi.Park Geun-hye aliondolewa...
View ArticleRais wa Zamani Afrika Kusini Jacob Zuma Afikishwa Mahakamani
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amefikishwa mahakamani leo katika mji wa Durban ili kujibu mashtaka ya rushwa, udanganyifu na kujitajirisha kinyume cha sheria. Kesi hii inasikilizwa kwa mara...
View ArticleShilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe
Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘ASHRAF‘ na kusema kuwa hiyo ndio tatoo yake ya...
View Article