Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze kufanya kazi na wewe kwa maelekezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
+255 676 601 044
+255 756 345 721