Cheni Arts Creation Company Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleMagazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu Ya Jaunuari 4, 2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleDaraja la Flyover Limeanza Kujengwa Makutano ya Tazara
Naam, ujenzi wa flyover pale TAZARA jijini Dar umeanza kama ilivyoahidiwa.Tutarajie kupata kitu imara toka kwa wajapani?
View ArticleChuo cha Garissa kufunguliwa tena
Image copyrightAFPImage captionKituo cha polisi kimejengwa ndani ya chuo kikuu cha GarissaChuo kikuu cha Garissa, mashariki mwa Kenya, kilichofungwa mwaka uliopita baada ya watu 148 kuuawa kwenye...
View ArticleMchungaji Lwakatare Apinga Nyumba yake Kubomolewa....Mwanasheria Wake Aitaka...
Mchungaji a Kanisa la Assemblies of God,Mikocheni, Dr Getrude Lwakatare amepinga nyumba yake kubomolewa ikiwa ni siku chache baada ya wizara ya maliasili na utalii kupitia wakala wa...
View ArticleBasi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia...
Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleNoti Bandia Zawaliza Wafanyabiashara Msimu wa Christmas
Misimu wa sikuu za Christmas na Mwaka Mpya ilikuwa na neema kwa wafanyabiashara wengi nchini lakini iliacha vilio vya utapeli kwa baadhi wa wafanyabiashara hususan maeneo ya pwani waliojikuta wametoa...
View ArticleIkulu Yamjibu Dk Makongoro Mahanga Aliyemtuhumu Rais Magufuli Kuunda Serikali...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongo Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza...
View ArticleShule sita Nchini Kufundisha Kichina
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeteua shule sita za sekondari nchini kuingia katika mpango maalumu wa wanafunzi wake kufundishwa somo la lugha ya Kichina kuanzia mwaka huu.Kutokana na...
View ArticleWaziri Mbarawa Atoa Siku Tatu Ukarabati Reli Ya Kati Iliyosombwa na Mafuriko
Waziri Mbarawa Atoa Siku Tatu Ukarabati Reli Ya Kati Iliyosombwa na MafurikoWaziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleBreaking News: Naibu Waziri -Tamisemi Seleman Jaffo Amsimamisha Kazi...
Naibu Waziri Tamisemi Suleiman Jaffo amemsimamisha kazi kwa muda Mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela jijini Mwanza John Wanga ili kupisha uchunguzi wa uhalali wa fedha zilizotumika kujenga fensi ya...
View ArticleWatu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani...
WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na gari kusombwa na maji huku watu 6 wakiwa wa familia moja.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA NFRA NA UJENZI WA OFISI YA MKURUGEZI...
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua mahindi yaliyohifadhiwa nje ya majengo ya maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA mjini Songea akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma...
View ArticleRais Magufuli Akutana Na Abdallah Bulembo ,Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleYaliyojiri Leo Ikulu Baada Ya Rais Magufuli Kukutana na Mkaguzi Mkuu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na kutakiana heri ya Mwaka Mpya,...
View ArticleHongereni Raphael kongwe na Grace Harusi yenu ilimelemeta sana
Mc wa sherehe Mc Dr cheni akiwa pamoja na maharusiMahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio...
View ArticleWahispania Wagundua Tiba ya UKMWI
Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika.Kwa kutumia damu ya...
View Article