Mwanamuziki wa Burundi Auawa Baada ya Kupambana na Polisi na Kupigwa Risasi
Visa vya watu kuuawa vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara BujumburaMwanamziki mmoja kutoka Burundi amepatikana amefariki katika mji mkuu wa Burundi, Bujumbura baada ya kukamatwa na polisi, hii ni kwa...
View ArticleSerikali Yanunua Mashine Mpya Ya CT-Scan Katika Hospitali Ya Taifa Ya...
Na Magreth Kina-MaelezoSerikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa...
View ArticleBreaking News:Mwigulu Nchema Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ranchi za...
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba jana alifanya ziara ya siku moja kukagua mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya ranchi ya Taifa ya Ruvu. BONYEZA HAPA...
View ArticleMugabe Atumia Maneno Makali Kumjibu Mgombea Urais Wa Marekani Aliyedai...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameamua kumjibu mgombea urais wa Marekani, Donald Trump ambaye hivi karibuni alidai kuwa akiingia madarakani atahakikisha anawakamata na kuwafunga yeye na rais mwenzake...
View ArticleMagufuli afuta hati ya hekta 1,870 Kapunga
Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,780 zitakuwa mali ya wananchi.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleTaarifa Muhimu Kwa Umma Kutoka TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa...
View ArticleBreaking News: Zoezi la bomoabomoa kwa wakazi wa mabonde ya Kinondoni...
Baadhi ya wakazi wa mabonde ya Kinondoni wakiwa katika maeneo ya Mahakama Kuu ya ArdhiBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Matukio Mbalimbali ya sherehe ambazo Dr cheni alikua MCMc Dr Cheni akiwa kazi "Hapa Kazi Tu"Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC...
View ArticleAbiria 269 Wanusurika Kufa ziwa Victoria
ABIRIA 269 waliokuwa wakisafiri kutoka Mwanza kuelekea wilayani Bukoba, wamenusurika kufa baada ya meli ya Mv Serengeti waliokuwa wakisafiria kupata hitilafu ya injini katika ziwa Victoria. BONYEZA...
View Article"Mimi ndiye Rais Halali wa Zanzibar na Nisiposema Mimi Nitawatuma Wasaidizi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa mujibu wa Katiba...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleKILA LA KHERI MBWANA SAMATTA
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta leo hii anatarajiwa kuwasili nchini Nigeria kuhudhuria sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barani...
View ArticleHUYU NDIYE DR CHENI MUIGIZAJI NA MSHEREHESHAJI (MC) MAHIRI TANZANIA
MC DR CHENI AKIWA KAZINI JINA LA PASSPORT NI MAHSEN AWADH SAIDI ILA WENGI HUMFAHAMU KWA JINA LA DR CHENI.HII NI KWA SABABU AMENG’ARA SANA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI AKIWA KAMA ACTOR,MOVIE DIRECTOR,MOVIE...
View ArticleRais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumnzo Na Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamini William Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam January 7,2016.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleCAG Aanza Kuwasaka Walionufaika na Mikopo Elimu ya Juu
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeanza kukagua taasisi za umma kuhusu utekelezaji wa sheria inayozitaka kuwatambua waajiriwa walionufaika na mikopo ya elimu ya juu. Hadi...
View Article