Mahakama Kuu Kitengo Cha Ardhi Yazuia Jumba la Mchungaji Lwakatare Kubomolewa
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa.Uamuzi huo wa mahakama ulitolewa juzi na Jaji John Mgeta,...
View ArticleWAJUE MATAJIRI 10 WA AFRIKA NZIMA
1. Aliko Dangote – Net worth: $15.7 Billion (Nigerian) Aliko Dangote is the world’s richest black man. He built his fortune through three commodities: sugar, cement, flour. Also he plans to invest in...
View ArticleMAGUFULI HATARIII;MOTO WAKE NCHINI WAWATISHA VIGOGO HAWA 900,WAJISALIMISHA...
SIKU moja baada ya Serikali kuzitaka kampuni 980 zinazodaiwa fedha zilizotolewa na wahisani chini ya Mpango Maalumu wa Kuagiza Bidhaa na Malighafi kutoka Nje (CIS), baadhi ya vigogo wameanza...
View ArticleBREAKING NEWZZ:Bilioni 18.77 Zimetumwa Kwenye Akaunti Za Shule Za Msingi Na...
KIASI cha shilingi bilioni 18.77 zimetumwa kwenye akaunti za shule za Msingi na Sekondari za halmashauri zote hapa nchini kwaajili ya wanafunzi kusoma bure.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSimba Avamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilayani Mlele Katavi na...
Mnyama Simba amevamia Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi na kuuwa watu wawili.Waliouawa ni baba na mtoto wake ambapo simba huyo kula mtoto na kuacha BONYEZA HAPA KUSOMA...
View ArticleMTANZANIA MBWANA SAMATTA ANYAKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA
Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo yaMchezaji bora anayechea soka barani Afrika naBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleProf Joyce Ndalichako Atoa Maagizo Mazito NECTA......Awapa Siku 7 Wamweleze...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku saba kwa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limpe sababu za kubadili mfumo wa utunuku viwango vya...
View ArticleAskofu Pengo: "Muhimbili Panatosha na Nimeridhika Na Huduma Za Hapa, Sioni...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam,Muadhama, Kardinali Pengo amesema kwamba ameridhishwa na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH), hivyo itakuwa...
View ArticleMsimamizi Wa BomoaBomoa Dar Aanguka Ghafla Ofisini Kwake.... Madaktari...
Operesheni kubwa ya kubomoa nyumba zaidi ya 15,000 zilizojengwa katika maeneo yasiyostahili jijini Dar es Salaam, imekumbana na changamoto ya aina yake baada ya mmoja wa wasimamizi wa kazi hiyo kutoka...
View ArticleMke Afia 'Gesti' Akiwa na Mchepuko
Mwanamke mmoja (jina linahifadhiwa) anayedaiwa ni mke wa mtu, amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni katika Manispaa ya Bukoba, akiwa na mwanaume mwingine anayesemekana ni hawara yake.BONYEZA...
View ArticleHii ndio Idadi ya Kura Alizopata Samata – Na Namna Kura Zilivyopigwa
Mbwana Samatta ndio jina liliotajwa zaidi kwenye vinywa vya watanzania wengi na Afrika kiujumla ndani ya masaa kadhaa yaliyopita – baada ya mwanasoka huyo wa Kitanzania anayekipiga katika klabu ya TP...
View ArticleRais Magufuli Ampongeza Mbwana Ally Samatta Kwa Kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salam za pongezi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye kufuatia mchezaji wa Timu ya Taifa ya mpira...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleSerikali Yatoa Picha Rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano, Dkt John Pombe Magufuli
Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08, 2015, katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Mtaa wa Samora.BONYEZA HAPA...
View ArticleBomoaBomoa Yaipasua Kichwa Serikali.......Mwanasheria Wa Nemc Aliyehalalisha...
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU ZOEZI LA KUHAMISHA WAKAZI WA MABONDENI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAMUtanguliziNchi yetu ina kingo za mito na mabonde na maeneo mengi hatarishi ambamo watu wanaishi kinyume cha...
View ArticleAskofu Pengo Kutoka Hospitali Leo
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,...
View ArticleWasiopeleka Watoto Shule Kuburuzwa Kortini Machi 30
SERIKALI imesema haitosita kuwafungulia mashtaka na kuwapeleka mahakamani ifikapo Machi 30, mwaka huu, wazazi ama walezi wote watakaoshindwa kupeleka watoto wao shuleni ili kupata elimu ya msingi na...
View Article