Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote zan...
View ArticleTAZAMA JINSI MBWANA SAMATHA ALIVYOPOKELEWA DAR
Jan 9 2016 mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika Mbwana Samatta alitua Dar na kupokewa na mashabiki zake kutokea maeneo mbalimbali ya jiji.Shabiki akikomaa kumtazama SamattaThomas Ulimwengu &...
View ArticleMagufuli na Edward Lowassa Wote Kwa Bwana Samatta
Si wanasiasa, si wanamichezo, wasanii na wengine wote walikuwa kitu kimoja wakati walipoungana kutoa salamu za pongezi kwa mshambuliaji nyota wa mpira wa miguu nchini, Mbwana Samatta kwa kutwaa tuzo ya...
View ArticleHongereni Sana Amina na Khatibu harusi yenu ilifana sana
Mc Dr cheni katika picha ya pamoja na maharusi wetu Khatibu na Amina Maharusi wetu wakiwa katika nyuso za tabasamuMc Dr Cheni akisherehesha kuhakikisha kila kitu kinaenda sawaMahsein Awadh Said...
View ArticleTAARIFA ZA KIFO CHA LETICIA NYERERE
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland nchini Marekani...
View ArticleElimu Bure Tanzania Inaanza Leo Kwa Shule Za Serikali......Kuhusu Shule...
Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akisema fedha zimeshafika kwa kila...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleRais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Mbwana Samatta Dar na Kumpongeza kwa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametembelewa ofisini kwake na mwanasoka bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samata...
View ArticleRais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Aliyelazwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Frederick...
View ArticleRais Magufuli Amtembelea Na Kumfariji Mama Maria Nyerere Kufuatia Kufiwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kufuatia kifo cha Mkwewe Leticia...
View ArticleMagazeti ya Leo Tanzania Jumanne ya January 12, 2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleMessi Ndiye Mchezaji Bora wa Dunia Aliyetangazwa Usiku wa Jana
Kura walizopata katika kinyang'anyiro cha Tuzo ya Mchezaji Bora Dunia 20151.Lionel Messi 41.33 %2.Cristiano Ronaldo 27.76 %3.Neymar Jr 7.86 %
View ArticleCCM Yaomba Radhi Kutokana na Maneno ya Kibaguzi Kwenye Bango Katika Sherehe...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka...
View ArticleMagazeti Ya Tanzania Leo Jumatano ya January 13,2015
BONYEZA HAPA KUSOMA KURASA NYINGINE
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
LM IT AND BUSINESS CONSULTANCY SERVICE BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA...
View ArticleUSIKU WA HARUSI YA GABRIEL NA EVA ULIPENDEZA SANA
Mc Dr Cheni Mshereheshaji wa sherehe hii akiwa na maharusi Gabriel na Eva Bwana na Bi Harusi wakicheza MzikiMc Dr Cheni akisherehesha kuhakikisha kila kitu kinaenda sawaMc Dr Cheni on the stageFor...
View Article