Mc Dr cheni katika picha ya pamoja na maharusi wetu Khatibu na Amina
Maharusi wetu wakiwa katika nyuso za tabasamu
Mc Dr Cheni akisherehesha kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa
Mahsein Awadh Said Maarufu kwa jina la Dr cheni katika tasnia ya filamu ambaye kwa sasa pia ni MC Mshereheshaji wa sherehe kama harusi na matukio mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.
Call now these numbers for booking
Mc Dr Cheni
TIGO : +255 713 620 865
VODACOM: +255 754 222 201
Manager: Lewis Mbonde
Tigo: +255 658 194 194
Wageni waalikwa katika nyuso za tabasamu
Picha ya kifamilia zaidi
Mc Dr Cheni akiwa kazini
Mc Dr Cheni on the stage akiwajibika
Wageni waalikwa wakifurahia jambo
Wageni waalikwa wakipata chakula