Jecha wa ZEC Atoka Mafichoni.....Dk. Shein Asisitiza Uchaguzi Lazima Urudiwe...
Hatimaye Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, jana ameonekana hadharani katika maadhimisho ya sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amaan mjini...
View ArticleMwanafunzi wa Miaka 13 Aozeshwa kwa Ng’ombe 13
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Mika NyangeMtoto mwenye umri wa miaka 13 anayesoma darasa la sita katika Shule ya Msingi Wishiteleja wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, ameozeshwa kwa nguvu na...
View ArticleBREAKING NEWS:Jeshi la Polisi Latoa Kauli Kali Kwenda kwa Mabenki Kuhusu...
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Operasheni kali inayoendelea jijini Dar es Salaam Na Avila Kakingo...
View ArticleAkamatwa Na Meno Ya Tembo Kilo 50 Yenye Thamani Ya Tsh Mil 120 Mkoani Katavi
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Nzuri Ndizu (44) Mkazi wa Kijiji cha Mbede Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amekamatwa akiwa na meno ya Tembo nane yenye uzito wa kilogramu 50 yakiwa na thamani ya...
View ArticleSerikali yatumia bilioni 459 kwenye mikopo ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo...
Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya wanafunzi 122,486 wamenufaika.Hayo yamesemwa na Meneja wa Habari Elimu na...
View ArticleSerikali Yamzawadia Samatta Kiwanja Na Fedha
Mchezaji Mbwana Samatta aliyejishindia Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani nchini Nigeria amezawadiwa na serikali kiwanja kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam na fedha taslimu...
View ArticlePato la Taifa laendelea kukua
Pato la Taifa katika kipindi cha Robo tatu ya mwaka 2015 limeendelea kukua kwa kasi ya asilimia 6.3 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 5.4 katika kipindi cha mwaka 2014. Hayo yamebainishwa na...
View ArticleKASI ya Magufuli Yaingia Vyuoni..Sasa Vyuo Vyote Visivyo na Sifa Kufutwa
Serikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchini na vile ambavyo vitakuwa havina sifa itavifunga bila kusita kwani haitaki watanzania wafanyiwe majaribio katika elimu.Taarifa hiyo imetolewa na...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2016. Kulia kwake ni Makamu wa Rais...
View ArticleEdward Lowassa Atangaza kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti
Akiongea na wafanyabiashara wa kariakoo waliomtembelea ofisini kwake mikocheni, Lowassa amesema safari ndio kwanza imeanza na yupo fiti kwa mapambano.Amewataka wanamabadiliko kutokukata tamaa...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015/2016 HAYA HAPA
Baraza la mitihani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu...
View ArticleLowassa Atangaza Kugombea Tena Urais Mwaka 2020
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alitangaza kwamba anajiandaa kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020. Lowassa alitangaza hayo mbele ya wafanyabiashara wa sokoni...
View ArticleSerikali Yatoa Tamko Kali Kuhusu Tiba Asili na Tiba Mbadala
Ndugu Wananchi, Katika nchi yoyote ile uhuru usio na mipaka ni jambo la hatari; lakini pia hakuna haki isiyo na wajibu. Vivyo hivyo, katika huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala hapa nchini kuna Sheria,...
View ArticleTCRA Yavifungia Vituo 27 Vya Radio Na Tv Kwa Kukwepa Kodi.......Miongoni Mwa...
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya TVkikiwemo kituo cha Star TV, Radio free Afrika, Kiss Fm na Uhuru FM kwa kushindwa kulipa kodi ya lesseni kwa wakati ..Akitangaza...
View ArticleBasi la Kiruto Kutoka Kondoa Kwenda Dar Lapata Ajali Mbaya Gairo na Kuua Watu...
Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine...
View ArticleMagazeti Ya tanzania Leo Jumamosi ya Januari 16,2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleUKAWA Washinda Kiti ca Umeya Kinondoni na Ilala, Dar es Salaam
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob (katikati) akiongoza sala ya kufungua mkutano wa kwanza baada ya uchaguzi wa kumchagua Meya na Naibu Meya wa manispaa hiyo.******Hatimaye baada ya danadana...
View ArticleSerikali Yacharuka.....Yamfungulia Mashitaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Six...
MKURUGENZI wa Kampuni ya Six Telecoms, Hafidh Shamte na wafanyakazi wengine watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi kwa...
View Article