Serikali Yalifungia Milele Gazeti la Mawio
Serikali kupitia Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nauye, imelifungia kwa muda wote gazeti la kila wiki la MAWIO linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services...
View ArticleKiwanda cha Sukari cha Mtibwa Chapigwa Faini Ya Milioni 50
Serikali imetoa siku saba kwa kiwanda cha sukari cha Mtibwa kulipa faini ya shilingi milioni 50 baada ya kudaiwa kukiuka sheria za mazingira.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSEND OFF YA MUMINA ILIFANA SANA CHINI YA MC DR CHENI
Mc Dr Cheni akiwa katika picha ya pamoja na bi harusi mtarajiwa pamoja na kaka yakeMc Dr Cheni akiwa kaziniFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222...
View ArticleMagazeti Ya Tanzania Leo Jumanne Ya Januari 19, 2016
BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE
View ArticleMC DR CHENI ALIIFANYA HARUSI YA ABDALLAH NA MUMINA KUWA YA KIPEKEE
Mc Dr Cheni katika picha ya pamoja na maharusi wetu Abdallah na Mumina Mc Dr Cheni On the stage akisherehesha mwanzo mwishoMaharusi wetu wakigonga cheersFor Booking Please Call Mc Dr Cheni...
View ArticleMwanamke Akutwa Kwenye Paa La Jengo La Wizara Ya Fedha Na Mipango Jijini Dar...
Manamke ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa amekaa juu ya paa la majengo ya Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam leo.Mwanamke huyo akizungumza na watu waliokusanyika lakini...
View ArticleAtiwa Mbaroni Akituhumiwa Kumpa Ujauzito Dada Yake wa Miaka 14
POLISI wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa inamshikilia mkazi wa kijiji cha Ulinji, Manispaa ya Sumbawanga mwenye umri wa miaka 28 akituhumiwa kumpatia ujauzito dada yake mwenye umri wa miaka 14 anayesoma...
View ArticleOfisi ya Kamishna Mkuu TRA Yavunjwa, Kompyuta Mbili Zaibiwa
Watu wasiojulikana wamevamia na kuvunja ofisi ya kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kuiba kompyuta na vifaa vingine.Habari tulizozipata ambazo zimethibitishwa na Polisi...
View ArticleHabari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Januari 25, 2016
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Januari 25, Ikiwemo Vita ya Madaraka ya Bunge yakolea
View ArticlePicha: Wastara Akifanya Mazoezi Nchini India
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini.Training...
View ArticleUsiku mzuri wa Send Off ya Vicky Ulifana sana
Mc Dr Cheni on the staje akisherehesha kwa umakini sanaVicky akiwa na mumewe mtarajiwaFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis...
View ArticleSerekali Yatangaza Kusitisha Matangazo ya Bunge Laivu Kuanzia Jana..Sababu...
Serikali yatangaza leo Bungeni kuwa kuanzia tarehe 26 Januari 2016 TBC imesitisha kuonyesha baadhi ya matangazo ya moja kwa moja ya shughuli za Bunge, kutokana na bajeti finyu.Baada ya tamko hilo...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA).............................. 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)..................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleAmuua Mwenzake Kwa Kipigo Baada ya Kumkuta Akimtongoza Dada Yake
Mkazi wa kijiji cha Kalovya – Inyonga wilayani Mlele, Ramadhani Ally (20) amefariki dunia akipatiwa matibabu hospitalini baada kupigwa na kijana mwenzake.Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa...
View ArticleAzikwa Kaburini na Kreti za Bia na Soda Kahama
Wakati serikali ikipigia kelele kukemea imani za kishirikina, wilayani Kahama bado ni kitendawili baada ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Mwamande, Kata ya Mwanase katika Halmashauri ya Msalala kufariki na...
View ArticleAli Kiba: Cindelela ilipo’Hit’ Ndoto za Kuwa Mchezaji Mpira Maarufu zilikufa
Ali Kiba UwanjaniAli kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo na mpira alikuwa anauweza hasa mpaka kutaka kusajiliwa na timu moja kubwa..Kiba amefunguka kwanini...
View Article