MC DR CHENI AKIWA KAZINI
JINA LA PASSPORT NI MAHSEN AWADH SAIDI ILA WENGI HUMFAHAMU KWA JINA LA DR CHENI.HII NI KWA SABABU AMENG’ARA SANA KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI AKIWA KAMA ACTOR,MOVIE DIRECTOR,MOVIE PRODUCER PIA DR CHENI NI MSHEHERESHAJI (MC) MAHIRI NA HODARI SANA KUTHIBITISHA HILI MCHAGUE AKUENDESHEE SHUGHULI UNAYOIANDAA SASA
MAWASILIANO
MC DR CHENI
+255 713 620 865
+255 754 222 201
Email:drchenitz@gmail.com
drchenitz@yahoo.com
MANAGER:LEWIS MBONDE
+255 658 194 194
Email:lewismbonde@gmail.com
MC DR. CHENI AKIWA KATIKA KAZI TOFAUTI AMBAZO AMEWAHI KUONGOZA KAMA MC, INAWEZEKANA JINA LA DR. CHENI LINAHUSIANA KABISA NA YEYE KUWA KATIKA MUONEKANO HUO.