Watu wanaodaiwa kuwa ni majangili na wawindaji haramu wameitungua kwa risasi helkopta ya doria ya wanyamapori katika pori la akiba la maswa lililoko wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kusini mwa hifadhi ya taifa ya Serengeti na kumuua rubani wa helkopita na kumjeruhi askari mmoja wa wanyamapori.
↧
Majangili Waitungua Helkopta na Kumuua Rubani Capt. Roger Katika Ranchi ya Wanyapori ya Mwiba, Meatu
↧