Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

MIJI MITANO HATARI ZAIDI DUNIANI, AFRICA UMETAJWA MMOJA.HII HAPA

$
0
0
Mtu wangu wa nguvu bado mitandao inakupa nafasi ya kusafiri kifikra na kimawazo kama hujafika sehemu unaweza ukapata nafasi ya kuijua sehemu kabla hata ya kufika, February 7 nimekutana na list ya miji mitano hatari zaidi duniani stori kutoka www.cheatsheet.com , Afrika upo mji mmoja mtu wangu.
1- San Pedro Sula, Honduras
Huu ndio mji hatari zaidi duniani unatajwa kuwa na matukio kadhaa ya kiharifu, San Pedro unatajwa kuongoza kuwa na vitendo vya kiharifu kama uuzaji wa madawa, vikundi vya kihuni na umekithiri umasikini.
Two armed men stand guard in a street of San Pedro Sula, 240 km north of Tegucigalpa, on March 7, 2012. 20 people die every day in San Pedro Sula, a rate ten times higher than the average in the world, making it known as the world's crime capital. AFP PHOTO/Orlando SIERRA (Photo credit should read ORLANDO SIERRA/AFP/Getty Images)
2- Rio de Janeiro, Brazil
Usidanganyike kwa kusikia kuwa michuano ya Kombe la Dunia na Olympic iliwahi kufanyika huko, Rio de Janeiro ni moja kati ya mji hatari zaidi duniani, licha ya kuwa unatajwa kuvutia baadhi ya matukio makubwa kufanyika.
A lightning flashes over the statue of Christ the Redeemer on top of the Corcovado hill in Rio de Janeiro, Brazil, on January 16, 2014. AFP PHOTO / YASUYOSHI CHIBA (Photo credit should read YASUYOSHI CHIBA/AFP/Getty Images)
3- Cape Town, South Africa
Ni moja kati ya miji inayovutia watalii katika nchi hiy, lakini vitendo vya kiharifu vimekubwa vikiingia kwenye headlines mara kadhaa, Cape Town sio suala geni kuona kuona vipo vikundi maalum vya vijana vipo kwa ajili ya kufanya vitendo vya kiharifu.
CAPE TOWN, SOUTH AFRICA - OCTOBER 22: A general view of Cape Town's central business district ahead of the 2010 FIFA world Cup, on October 22, 2009 in Cape Town, South Africa. (Photo by Dan Kitwood/Getty Images)
4- San Salvador, El Salvador
Huu ni mji kabisa ambao una vikundi vya kiharifu maarufu kama vile vipo rasmi au kutambulika kisheria, kuna vikundi vingi na maarufu vya kiharifu San Salvadorkama vile MS-13, kutokana vitendo vya kiharifu kumekuwepo na watu wengi kukimbilia kaskazini mwa  nchi hiyo.
Gang members are captured by police during the operation "safe house" in the Villa Mariona II neighborhood of San Salvador, El Salvador on March 7, 2014. Salvadoran police make "safe house" operations to search for drugs and gang members in violent neighborhoods. AFP PHOTO/ Inti OCON (Photo credit should read Inti Ocon/AFP/Getty Images)
5- Kabul, Afghanistan
Kabul kutokana na hali ya usalama kuwa ndogo sidhani kama kuna mtu au mtalii anaweza kuvutwa kwenda kutembea, mji huo bado unatajwa kutokuwa na hali ya amani kutona na uwepo wa wanamgambo wa Taliban na majeshi ya U.S.A.
Afghan policemen block a road as they stands guard near the security perimeter setup around the Serena hotel in Kabul early on March 21, 2014. Security forces rushed to the luxury Serena hotel in central Kabul on March 20 evening after gunshots were heard at the venue, a high-security location favoured by foreign visitors to the Afghan capital. The gunfire at the hotel came on the same day that seven Taliban suicide attackers stormed a police station in the eastern city of Jalalabad killing 10 policemen. AFP PHOTO / SHAH MARAI (Photo credit should read SHAH MARAI/AFP/Getty Images)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>