Kwa Mara ya Kwanza Lowassa Afunguka Sababu Kubwa iliyomfanya Kuondoka CCM na...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema chini ya mwavuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema kusakamwa kwa maneno ya kejeli, vijembe na vitisho, kuitwa gamba na fisadi ndani ya...
View ArticlePolisi Watatu Wafa Ajalini Msafara wa Rais Magufuli
Askari polisi watatu wamefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya gari lao lililokuwa kwenye msafara wa Rais John Magufuli kutoka Singida kwenda Dodoma, kupasuka tairi na kupinduka.BONYEZA...
View ArticleMIJI MITANO HATARI ZAIDI DUNIANI, AFRICA UMETAJWA MMOJA.HII HAPA
Mtu wangu wa nguvu bado mitandao inakupa nafasi ya kusafiri kifikra na kimawazo kama hujafika sehemu unaweza ukapata nafasi ya kuijua sehemu kabla hata ya kufika, February 7 nimekutana na list ya miji...
View ArticleSherehe za Miaka 39 ya CCM: Rais Magufuli Atuma Salamu Kwa Watendaji Wavivu...
Rais John Magufuli amewataka watendaji wote wa serikali kuhakikisha kuwa wanatekeleza ipasavyo matakwa ya ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndicho kinachoongoza nchi kwa sasa.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMengine Yaibuka Taarifa ya Kocha Jose Mourinho Kujiunga Manchester United
Timu ya Manchester United imekataa kusema lolote juu ya madai kuwa ilifanya mashauriano na wawakilishi wa kocha mzoefu Jose Mourinho, aliyeachishwa kazi kutoka Chelsea Disemba, mwaka jana.Habari za...
View ArticleMbowe Afunguka Sababu Zilizopelekea Zitto Kabwe Kutochaguliwa Baraza la...
Maswali mengi yameibuka hivi karibuni baada ya wadau mbalimbali wa masuala ya siasa kutolisikia jina la mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe kwa tiketi ya ACT katika Baraza Kivuli la MawaziriBONYEZA HAPA...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION PROPOSAL FOR DONORS .................................................350,000/=...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleMwalimu Mkuu Ashushwa Cheo na Kukamatwa na Takukuru Kwa Rushwa ya KUKU
Mkuu wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Amani Mwenegoha amemvua wadhifa wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sinamila, Mashaka Lusotola na kumrudisha kuwa mwalimu wa kawaida.Hatua hiyo ilikuja baada...
View ArticleHappy birthday mke wangu mungu akupe maisha marefu
Happy birthday mke wangu mungu akupe maisha marefu akuzidishie upendo ili tulee familia nakupenda
View ArticleMawaziri Yona na Mramba Waanza Kutumikia Kifungo cha nje...Wakabithiwa Vyombo...
Yona, Mramba wakabidhiwa vifaa vya usafi hospitali ya BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleAskofu Gwajima Azushiwa Kifo
Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, jana alizushiwa kuwa amefariki dunia.Taarifa hizo zilizozagaa katika mitandao ya kijamii zilieleza kuwa Askofu Gwajima alifariki dunia...
View ArticleFlora Mvungi Anatarajia Kujifungua Mtoto wa Tatu
Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu.Flora Mvungi akiwa hospitaliWana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na...
View Article“Nampenda yeye” ndio ilinitoa kimaisha-Temba
Gwiji wa Muziki wa Bonge Fleva Mhe. Temba amefunguka kuwa llbum yake ya kwanza ya nampenda yeye ndio iliyomfungulia Maisha na mafanikio katika muziki wake.Mhe. Temba ambae anaunda kundi la TMK Familly...
View ArticleMwalimu Mkuu Avuliwa Wadhifa Wake Baada Ya Kuchelewa Kikao Cha Mkuu wa Wilaya
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Butinzya, amevuliwa wadhifa huo kwa madai ya kuchelewa kuhudhuria kikao kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe, Amani Mwenegoha. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Apata Ajali Mbaya ya Gari
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa akiwemo mke wa waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda Mama Tunu Pinda baada ya gari walilokuwa wakisafiria kumgonga mwendesha pikipiki wakati...
View Article