Vicent Kigosi ‘Ray’ Awacharukia Wanaosema Tasnia ya Filamu Imekufa Baada ya...
Msanii mkongwe wa filamu nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ amewataka mashabiki wa filamu kuwapuuza watu wanaodai tasnia ya filamu imekufa baada Steven Kanumba kufariki.Ray KigosiAkizungumza na Bongo5 Ijumaa...
View ArticleBunduki iliyotungua Helkopta na Kuua Mzungu yapatikana Simiyu.
Bunduki hiyo aina ya Riffle Na 7209460 CAR Na 63229, imepatikana mara baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwakamata watu 9 wanaotuhumiwa kuhusika na tukio hilo.Kamanda Lazaro Mambosasa amesema kuwa...
View ArticleMramba Afunguka Kuhusu Maisha Ya Gerezani.....Aishauri Serikali Kuwatumia...
Aliyekuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba, ameishauri Serikali kuhakikisha inawatumia wafungwa kutumikia jamii badala ya kuwarundika magerezani.Amesema pamoja na hayo,...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY...
PROJECT PROPOSAL ......................................................300,000/=KUANDAA KATIBA ZA NGO NA KIKUNDI..............................200,000/=BUSINESS PLAN...
View ArticleBreaking News: Lori la Mizigo Laangukia Dala Dala Barabara ya Mandela Maeneo...
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleBaada ya Ney wa Mitego Kuachia Wimbo Wake wa 'Shika Adabu yako', BASATA...
BASATA imetoa kauli hiyo kupitia Katibu mkuu mtendaji wa baraza hilo Godfrey Lebejo, alipokuwa akiongea katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kwamba anaamini...
View ArticleWatu 6 Wajeruhiwa Baada Ya Kontena Kuangukia Magari Matatu
Watu sita wamejeruhiwa jana baada ya Lori la Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR lililobeba kontena kuacha njia naBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSiku 100 za Rais Magufuli: Hospitali Ya Muhimbili Yang'aa, Mapato Yapaa na...
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam imesema ndani ya siku 100 za kuwepo madarakani kwa Rais John Magufuli, imefanikiwa kuongeza mapato kwa kiwango cha asilimia 90.Pia,...
View ArticleMKUU WA MAJESHI KOREA KASKAZINI ANYONGWA KWA TUHUMA ZA UFISADI
Mkuu wa majeshi ya Korea Kaskazini kanyongwa kwa tuhuma uhujumu/ufisadi kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Korea ya kusini. Mkuu huyo wa jeshi la Korea Kaskazini hajatajwa kwenye vyombo vya habari...
View ArticleBREAKING NEWZZZ:BASATA WAUFUNGIA WIMBO WA NAY WA MITEGO UITWAO "SHIKA ADABU...
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limeufungia wimbo wa Ney wa mitego unaoitwa 'shika adabu yako' kutokana na matumizi yaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleBREAKING NEWZZZ.....AJALI MBAYA YA BASI MDA HUU Basi la Simba Mtoto...
Basi la Simba Mtoto limegongana na Lori la mizigo huko Korogwe - Tanga na kusababisha vifo na majeruhi kadhaa(idadi kamili bado).Kamanda wa Polisi Mkoani humo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleYatokea Sitofahamu katika Pantoni La Kigamboni baada Ya Kugoma Leo Asubuhi
Hatari....Nimetumiwa picha hizi hapa na wadau wa Habarika Blog zikionyesha hali ilivyokuwa katika kivuko cha Kigamboni leo asubuhi , Bado sijapata nini kilisababisha hatari hiyo nitawajuza...
View ArticleUpdates..Kilichosababisha Sintofamu Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi Kutaka...
Updates - Kivuko cha MV Kigamboni mapema leo kilikaribia kuzama baada ya kuzidisha abiria na mizigo, baadhi ya abiria wajitosa na kuogelea.Kilipoteza mwelekeo na kuacha njia yake hali ilozua taharuki...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleMajangili 9 Wanaotuhumiwa Kutungua Helkopta Wafikishwa Mahakamani
Watu tisa wamefikishwa mahakamani wakituhumiwa kutungua helikopta iliyokuwa ikifanya doria kwenye Pori la Akiba la Maswa wilayani Meatu, Simiyu na na kumuua rubani wake.Mbali na kutungua chopa na...
View ArticleNay wa Mitego Akanusha Wimbo Wake Kufungiwa na Basata...Adai Hata Kama...
Nay wa Mitego Amafunguka Haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:"Pale unaposikia eti kuna wasiopenda kuambiwa Ukweli wamezusha Eti Wimbo wa ShikaAdabuYako Basata wamefungia. Guys Wimbo haujafungiwa na...
View Article