Binti wa Kitanzania Amayesoma India Adhalilishwa Kwa Kupigwa Na Kuvuliwa Nguo
Mtanzania anayesoma India amepigwa, kuvuliwa nguo na kisha kulazimishwa kutembea akiwa uchi na kundi la watu nchini humo.Mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 21 (jina linahifadhiwa) anayesoma shahada...
View ArticleAzam FC yachukua kombe la Michuano Maalum Zambia
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetwaa ubingwa wa michuano maalumu iliyomalizika jijini Ndola Zambia baada ya kutoa suluhu dhidi ya Zanaco FC ndani ya Uwanja wa Levy Mwanawasa.Sare...
View ArticleMume Amcharanga Mke Wake Kwa Panga Sehemu Mbali Mbali Kisa Sh 5,000 ya Matumizi
Mkazi wa kijiji cha Buhembe, mkoani mara, Martha Hussein 'Bhoke' amecharangwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake kwaBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMbowe Na Zitto Kabwe Wazika Rasmi Ugomvi Wao Wa Muda Mrefu
Uhasama uliodumu kwa muda mrefu kati ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe sasa ni wazi unaonekana...
View ArticleUchaguzi Mameya Kinondoni na Temeke sasa Kurudiwa
Uchaguzi wa umeya katika Manispaa za wilaya za Temeke na Kiondoni utarudiwa baada ya kugawanywa na kuzaa wilaya za Ubungo na Kigamboni.SOMA ZAIDI>> HAPA KAZI TU BLOG
View ArticleImebainika Mashine ya CT Scan Iliyofungwa Muhimbili Hospital ni ya Chuo...
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto imekiri kwamba mashine ya CT Scan iliyofungwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ilikuwa ni ya kituo cha kisasa cha kutolea huduma za afya...
View ArticleLowassa Aunga Mkono Maamuzi Ya CUF Kutoshiriki Uchaguzi Zanzibar
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais akiungwa mkono na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananch UKAWA, Mh. Edwrad Lowassa amesema ni vema serikali ikahakikisha inapata suluhu ya mgogoro wa...
View ArticleSerikali Yazungumzia Tukio la Mwanafunzi wa Kitanzania Kudhalilishwa Kwa...
Serikali imesema kuwa inaendelea kufatilia ili kuchukua hatia zaidi juu ya matukio yalitokea nchini India katika chuo cha Acharya Bangalore, ikiwemo la mwanafunzi wa Kike kudhalilishwa kwa kuvuliwa...
View ArticleUpdate: Polisi Watatu Wasimamishwa Kazi Kupisha Uchunguzi wa Binti wa...
Polisi watatu wamesimamishwa kazi kwa muda mjini Bangalore nchini India kwa tuhuma za kukataa kusikiliza na kupokea malalamiko ya watu walioshambuliwa na kundi la watu ambapo mwanafunzi mmoja wa kike...
View ArticleRais Magufuli Awasalimia Wananchi Wa Msamvu Mkoani Morogoro Leo Wakati Akiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka watu wote waliotelekeza Mashamba na Viwanda walivyouziwa na serikali, kuhakikisha wanafufua mashamba na viwanda hivyo mapema...
View ArticleRais Magufuli Asema Yeye si Kichaa wala Dikteta......Aahidi Kuifanyia Mema...
RAIS Dk. John Magufuli amesema anapochukua hatua yeye si kichaa, si dikteta, si shetani wala si mnyama, ila ni mpole, lakini amefika mahali lazima afanye hivyo kwani ndani ya Serikali yanafanyika mambo...
View ArticleMbowe Atangaza Baraza la Mawaziri Kivuli leo Bungeni
Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametangaza baraza lake la mawaziri kivuli leo bungeni mjini Dodoma.Mbowe, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chadema ametaja...
View ArticleMagufuli Aanza Kutimiza Ahadi ya Kufufua Viwanda...Kiwanda Cha Matairi cha...
Shillingi Billioni 60 zinategemea kutumika kufufua kiwanda ya matairi cha General Tyres kilichopo Jijini Arusha ambacho kimesharudi mikononi mwa Serikali, na fedha hizo zitatumila kurekebisha mitambo...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
CALL NOW +255 658 194 194 FOR MC DR CHENI I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION PROPOSAL FOR DONORS...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleBasata Yaifungulia Makucha Miss Tanzania
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limefungua makucha na kuitaka kampuni ya LINO waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania kurudimezani na kamati ya mashindano hayo ambayo ilijitoa wiki kadhaa nyuma...
View ArticleMasanja Mkandamizaji Kufungua Kituo Chake cha Radio na TV
Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameweka wazi mpango wake wa kufungua kituo cha Radio na TV ambavyo atavisimamia yeye mwenyewe.Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha...
View Article