Serikali Yaahidi Kuboresha Huduma Za Afya.......Wauguzi Wanaotoa Lugha Chafu...
Serikali imejipanga kutoa huduma bora za afya kwa wananchi kwa kuwawezesha kila mwananchi kupata Bima ya Afya itakayosaidia kupata huduma bora za afya katika zahanati na hospitali mbalimbali.BONYEZA...
View ArticleWatu 6 Watiwa Mbaroni Kufuatia Kutunguliwa helikopta Katika Ranchi ya...
Watu sita wanaodaiwa kuwa majangili, wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuitungua helikopta ya doria na kusababisha kifo cha rubani wake katika pori la akiba la Maswa.Kukamatwa kwa watu hao kumekuja...
View ArticleKIJANA AGONGWA NA TRENI AFARIKI DUNIA AKIJIPIGA SELFIE
Kutokana na kitu ‘selfie’ kuonekana kupata nguvu kubwa sana na kupendwa na watu wengi, yako matatizo pia ambayo yanasababishwa na selfie hizohizo, ishu ya ajali na vifo nayo inatajwa.Wiki chache...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)............................ 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG).................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleSerikali Kuajiri Vijana 71,408 Mwaka Huu.......Halmashauri Zaagizwa Kutenga...
Serikali katika mwaka wa fedha 2016/2017 imepanga kuongeza ajira kwa vijana ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wengi wa kitanzania kwa kuongeza ajira na kuwezesha wengine...
View ArticleBAKWATA Waunga Mkono Uchaguzi wa Marudio Zanzibar
WAKATI Chama cha wananchi CUF ambacho ni chama kikuu cha Upinzani visiwani Zanzibar kikiwa kimesusia uchaguzi wa marudio ambao unafanyika Marchi 20 ya mwaka huu,Baraza la Waislam (BAKWATA) limesema...
View ArticleBodaboda Agonga Gari Na Kufariki Papo Hapo
DEREVA wa bodaboda, Colnery Mpande (18), mkazi wa Kiluvya Kwa Komba, amekufa baada ya pikipiki aliyokuwa akiiendesha kugonga gari kwa nyuma na yeye kuangukia barabarani na kukanyagwa kichwa na gari...
View ArticleKaya 50 karibu na ghorofa 16 eneo la Indira Ghandi zapewa siku 3 kupisha...
Zaidi ya kaya 50 zinazoishi kuzunguka jengo la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Gadhi katikati ya jiji ambalo linatakiwa kubomolewa zimepewa siku tatu ziwe zimeondoka kwa muda ili kupisha zoezi hilo...
View ArticleWabunge Wa CCM Waungana Na Upinzani Kuibana Serikali Kuhusu Ujenzi Wa Reli,...
Bila kujali itikadi za vyama vyao, wabunge wameukosoa mwongozo wa kuandaa mpango wa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2016/17, wakihoji suala la ujenzi wa reli ya kati kwa viwango vya kimataifa...
View ArticleBei ya Mafuta Yashuka Tena
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika,...
View ArticleBei za mafuta hapa nchini kuanzia 3/2/2016
PetroliDizeliMafuta Ya TaaDar es Salaam1,8421,6001,699Arusha1,9261,6841,783Arumeru (Usa West)1,9261,6841,783Karatu1,9451,7021,801Monduli1,9321,6891,788Ngorongoro (Loliondo)1,9831,7401,839...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)............................ 60,000/= BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG).................... 45,000/= ADSENSE (BLOGGER...
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleBreaking News..Kabwe Zitto Kununua Timu Kubwa ya Mpira Nchini....
MBUNGE wa Kigoma Mjini, Kabwe Zitto (ACT), ametangaza azma ya kuinunua timu ya soka ya JKT Kanembwa inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleDr. Slaa Ajibu Mapigo....Akanusha Nyumba Yake Kupigwa Mnada Kisa Mkopo...
Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa ametoa majibu kuhusu taarifa zinazoandikwa kwenye baadhi ya magazeti nchini pamoja na mitandao kuwa nyumba yake...
View ArticleMahakama Ya Rufaa Kuamua Ugomvi Wa Nyumba Kati Ya Afande Suleiman Kova Na...
Mahakama ya Rufaa wiki ijayo inaanza kusikiliza kesi za rufani 50 za jinai na madai katika Kanda ya Arusha ikiwamo rufaa ya makamishna wawili wa Jeshi wa Polisi wanaogombea nyumba ya serikali iliyopo...
View Article