Wasanii wakiandikisha majina baada ya kuwasili ukumbini.Wasanii wa Bongo movie wakisubiri kuanza mchakato wa kumchagua rais wa Shirikisho la Filamu nchini.Ukumbi ulivyoandaliwa kwa ajili ya shughuli hiyoVyumba vya kupigia kura.
LEO ndiyo kwenye tasnia ya filamu hapa nchini. Rais, makamu na wajumbe wanaounda Shirikisho la Filamu Tanzania watapatikana leo kwa uchaguzi uaofanyika katika Ukumbi wa Urafiki uliyopo Ubungo jijini Dar es Salaam.
Pichani juu ni maandalizi yanavyoonekana ndani ya ukumbi amabao utatumika kufanyia uchaguzi huo.