Kuiga mitindo ya kimaisha nalo limekuwa ni jambo ambalo linawaathiri watu wengi sana. Kuishi nje ya malengo uliyojiwekea na kukata tamaa ya maisha limekuwa tatizo sana. Kuishi maisha ambayo hayana furaha, upendo, amani ni tatizo miongoni mwa
watu wengi.
1. Kila Kukicha Afadhali Ya Jana.
2. Bado Nipo Nipo Kwanza.
3. Fedha Ni Shetani
4. Tumia Pesa Ikuzoee/Ukipata Tumia Ukikosa Jutia.
5. Aliyekupa Wewe Ndiye Aliyeninyima Mimi.
6. Sina bahati.
Kwa hiyo, watu wanatakiwa kuacha kuzitumia kauli hizi na
kubadili mtazamo wa fikra, mambo ya kuamini mafanikio ni kwa watu waliosoma tu, au watu wa ukoo Fulani au kabila Fulani ndio wana haki ya kufanikiwa siyo kweli.
Source: Timheaven.com