Kuelekea siku ya wananawake duniani ambayo kila mwaka inafanyika Marchi 8, Wanawake wote nchini wametakiwa kujiamini na kuwa na uthubutu kwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kuliko kuwa tegemezi, katika kukabiliana na changamoto zinazowakabili mbele yao katika maisha yao ya kila siku.