Picha za Mwigizaji Rich Richie Alivyotua Airport Baada ya Kushinda Tuzo ya...
Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single...
View ArticleVideo: Rais Magufuli Akimtangaza Katibu Mkuu Kiongozi Mpya Baada ya...
Video ya Rais Magufuli akimtangaza John Kijazi Kuwa Katibu mkuu Kiongozi kuchukua nafasi ya Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi nyingine
View ArticleSiku 67 za Ombeni Sefue Ikulu Kabla ya Kutumbuliwa JIPU Jana
JANA ilikuwa siku ambayo Rais John Magufuli alitoa uamuzi mzito wa kubadilisha nafasi za uongozi wa ngazi ya juu zaidi kwa viongozi ambao amefanya nao kazi baada ya kumuondoa Balozi Ombeni Sefue...
View ArticleWANAWAKE WOTE NCHINI WAMETAKIWA KUJIAMINI NA KUWA NA UTHUBUTU KWA KUFANYA...
Picha ya Maktaba yetu Kuelekea siku ya wananawake duniani ambayo kila mwaka inafanyika Marchi 8, Wanawake wote nchini wametakiwa kujiamini na kuwa na uthubutu kwa kufanya shughuli za kujitafutia...
View ArticleMoto Wateketeza Mabweni Mawili katika Shule ya Sekondari ya Iyunga jijini...
Mabweni mengine mawili ya shule ya Sekondari Iyunga iliyoko jijini Mbeya yameteketea kwa moto mchana huu.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRais Magufuli Amuapisha Balozi Eng. John William Kijazi Kuwa Katibu Mkuu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Eng. John William Herbert Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Kijazi anachukua nafasi...
View ArticleHIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA LULU KUHUSU UJIO WAKE TANZANIA KESHO
Tunajua ni Watanzania wawili walishinda tuzo mbili kwenye usiku wa tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards, wa kwanza ni Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambapo Richie tayari...
View ArticleChid Benz alimfanyia unyama Ali Kiba wakati wakirekodi wimbo ‘Hasira za Nini’
Rapper Chid Benz amesema wakati wanarekodi wimbo ‘Hasira za Nini’ aliyomshirikisha Ali Kiba, alimfungia ndani msanii huyo katika chumba cha kuingizia sauti ambacho kilikuwa na joto kali.Ali Kiba na...
View ArticleRATIBA YA MAPOKEZI YA LULU AKITOKEA NAIGERIA HII HAPA
drchenitzWapendwa mungu akipenda tukutane LEADERS kuanzia saa 4 mchana hivi maana saa 6 mchana maelekezo Airport anatua kwa upendo zaid karibu sana @elizabethmichaelofficial watanzania wanakusubilia...
View ArticleMwanafunzi Aliyeongoza Kitaifa Matokeo Kidato cha Nne Aahidiwa Ajira Na Benki...
Benki ya CRDB imemfungulia Akaunti ya Scholarship na kumwekea sh. Milioni 5 mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kumaliza kidato cha nne mwaka 2015, Butogwa Shija na...
View ArticleSerikali Yatoa Bei Elekezi ya Sukari..... Kilo moja Kuanzia sasa ni Sh. 1800...
HATIMAYE Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli imekisikia kilio cha muda mrefu cha Wananchi ambao walikuwa wakilalamika kupanda kwa bei ya sukari nchini.Akizungumza na Waandishi...
View ArticleWaziri wa Ardhi, William Lukuvi Akataa Rushwa ya Bilioni 5
Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amesema rushwa imekithiri kwenye sekta ya ardhi kiasi kwamba wafanyabiashara wawili walimuahidi rushwa ya Sh5 bilioni afanikishe mpango wao wa kuiuzia Serikali ardhi...
View ArticleMWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI RUKWA AMPA MIMBA MWALIMU WAKE
WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa...
View ArticleBalozi Ombeni Sefue Amshukuru Rais Magufuli Kwa Heshima Aliyompa......Aahidi...
Baada ya kudumu Ikulu kwa takribani siku 127 zikiwamo 67 tangu aongezewe muda wa mwaka moja akiwa na Serikali ya Awamu ya Tano, Balozi Ombeni Sefue ameshukuru heshima aliyopewa na Rais John Magufuli...
View ArticleDonald Trump Afananishwa na Madikteta Wakubwa Waliowahi Kutingisha Dunia
Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amesema lugha anayotumia mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump ndiyo iliyotumiwa na madikteta Adolf Hitler na Benito Mussolini.Amesema hayo kwenye...
View ArticleHIVI NDIVYO LULU ALIVYOPOKELEWA AIRPORT DAR BAADA YA KUSHINDA TUZO NIGERIA
Jumamosi ya March 5 2016 Waigizaji wawili wa Tanzania walishinda tuzo kwenye tukio la Africa Magic Viewer’s choice Awards 2016 huko Lagos Nigeria ambao ni Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth...
View ArticleWaziri wa Afya Ummy Mwalimu Ataka Makahaba wanaojiuza Pamoja na Wanaume...
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetangaza kuiunga mkono Polisi nchini katika operesheni ya kukamata wateja wa makahaba kuhakikisha biashara hiyo inakoma nchini.Waziri wa...
View Article