Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi 597 Waliosimamishwa Kazi NIDA Waandamana Kudai Haki Zao

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), wameandamana kupinga kitendo cha mamlaka hiyo kuvunja mikataba yao huku wakidai mishahara ya miezi mitatu. Wafanyakazi hao walichukua hatua hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARUSI YA ZUNGU ILIKUA YA KIPEKEE CHINI YA MC DR CHENI

Mc Dr Cheni katika picha ya pamoja na maharusi  Mc Dr Cheni akiwajika kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa waalikwa wanafurahi mwanzo mwishoFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI MBAYA IMETOKEA LEO ASUBUHI TABATA DAR ES SALAAM

Ajali mbaya imetokea mapema leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi- Dar es Salaam ikihusisha magari matatu, daladala (DCM) iliyokuwa na abiria lifanyalo safari zake Gongo la Mboto na Simu2000, Lori...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES: HADI SASA WAFARIKI WATU 3 NA 19 KUJERUHIWA KUTOKA KWENYE AJARI ILIYO...

Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Lucas Mkondya amesema kuwa ajali hiyo imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Sukita ambapo amesema chanzo cha ajali hiyo ni lori la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Habari Kamili:Ajali Mbaya Iliyohusisha Daladala na Malori Mawili Yaua Watu 4...

Ajali Mbaya imetokea leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam ikihusisha malori mawili  na daladala iliyo kuwa ikitokea Gongo la Mboto kuelekea Ubungo Kwa mujibu wa mganga mkuu Hospitali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBEA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI NA SERIKALI YAKE...

Baadhi ya maaskofu kutoka makanisa mbalimbali Mkoani Mbeya wakiwa wamshika Picha ya Rais na ramani ya Tanzania wakati wa maombi maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA NYINGINE ZA MAPOKEZI YA LULU HAPO JANA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Alhamis ya March 10,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Atupwa Jela Miaka 7 kwa Kumkata Mkewe Sehemu za Siri Ili Apate Mali

Mkazi wa Kata ya Mbugani, Manispaa ya Tabora, Mashaka Maziku (60) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kumkata sehemu za siri mkewe kwa imani za kishirikina ili apate mali.Hakimu Joctan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapokezi ya Lulu Michael Tanzania yawashtua Afrika Magharibi

 Mapokezi ya Elizabeth ‘Lulu’ Michael wiki hii yameishtua Afrika Magharibi.Lulu alishinda tuzo ya filamu bora ya Afrika Mashariki kwenye tuzo za Africa Magic Viewers Choice, AMVCA 2016 zilizotolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Afanya Ziara Ya Kustukiza Benki Kuu (BOT) Jijini Dar Es Salaam...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa kaongozana na Naibu Gavana wa BOT Dkt Natu Mwamba akiwasili makao  makuu ya Benki Kuu ya Tanzania alikofanya ziara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu: Tuzo Niliyoshinda ni Mpango wa Mungu, Kutokana na Matatizo Niliyopitia...

Mshindi wa tuzo ya Best Movie-East Africa, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alieleza hayo mara tu baada ya kutua Dar-es-salaam akitokea Lagos Nigeria na tuzo yake.‘’Kila kitu ambacho kinatokea sasa hivi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gharama ya Mwili Wangu ni Ada ya Watoto London JB

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephen maarufu kama JB amesema gharama ya mwili wake ni sawa na kusomesha watoto wawili London.Jb ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha E News...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wavaa 'Vimini' Wavuliwa Nguo Hadharani Jijini Mbeya

Wasichana wanaovaa nguo fupi za kubana na wavulana wanaovaa milegezo  jijini Mbeya , juzi walipata wakati mgumu baada kundi la vijana kuwavua nguo zao na kuzichana hadharani, kutokana na gari la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Ijumaa ya March 11,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa Kibali Cha Safari Nje ya Nchi Kwa Mawaziri Wawili

Tangu Novemba 5 wakati Dk John Magufuli alipoapishwa, ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Augustine Mahiga pekee waliotoka nje ya nchi, lakini jana Rais aliwaruhusu...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>