Ajali mbaya imetokea mapema leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi- Dar es Salaam ikihusisha magari matatu, daladala (DCM) iliyokuwa na abiria lifanyalo safari zake Gongo la Mboto na Simu2000, Lori lililobeba mchanga na Lori lililokuwa limebeba N’ombe likielekea Vingunguti
Watu ambao idadi yao bado haijafahamika maramoja wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali hiyo.