$ 0 0 Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Shaka Hamduni Shaka amewataka wanachama wanaojitambua kuwa ni majipu kwa kukisaliti chama kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka jana, waanze kujitumbua kabla hawajatumbuliwa.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI