UVCCM Yataka Majipu Ndani ya Chama Yaanze Kujitumbua ......Ni wale...
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Shaka Hamduni Shaka amewataka wanachama wanaojitambua kuwa ni majipu kwa kukisaliti chama kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka jana, waanze kujitumbua...
View ArticleKilimanjaro: Watumishi HEWA Wakopa Mamilioni ya Pesa Benki
Msako ulioanzishwa na Rais John Magufuli wa kutokomeza tatizo la wafanyakazi hewa katika utumishi wa umma, umeendelea kuibua mazito, ambapo mkoani Kilimanjaro, Benki ya CRDB imejikuta ikitoa mkopo kwa...
View ArticleBREAKING NEWZZ:MWANAMUZIKI MKONGWE PAPAA WEMBA AFARIKI DUNIA
Papa Wemba akiwa jukwaani kwa mara ya mwisho jijini Abidjan, Ivory Coast, usiku wa kuamkia leoMwanamuziki nguli wa Congo Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba maarufu kama Papa Wemba amefariki dunia huko...
View ArticleBinti wa Miaka 16 Kutoka Mwanza Ahutubia Umoja wa Mataifa
;Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa...
View ArticlePaul Okoye wa kundi la P-Square Anaswa South Africa Akiwa Amevaa Kofia ya WCB...
Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video ya Colors of Africa, ujue...
View ArticleRose Ndauka Asema Aliumia Kuachana na Mpenzi Wake ‘Malick’ Siku Chache Kabla...
Msanii wa filamu Rose Ndauka amesema hakuna kitu kilimuumiza katika maisha yake kama kuachana na mpenzi wake Malick Bandawe aka Chiwaman, siku chache kabla ya ndoa yao kufanyika.Rose Ndauka Akiwa na...
View ArticleFahamu Maana ya Ngoma NdiNdiNdi ya Lady JayDee
Akiitambulisha video ya wimbo huo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ya EATV Lady JayDee amesema kwamba maana ya wimbo huo niBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleBishanga: Waigizaji Wengi wa Sasa Wanaiga ‘Umagharibi’
Mwigizaji Mkongwe ambaye alikuwa kwenye kundi la Mambo Hayo lililokuwa maarufu miaka ya 90, Bishanga Bashaija amesema kuwa waigizaji wengi wa sasa hivi wanaiga sana Umagharibi,ndio maana tamthilia...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa China hapa nchini Dkt. Lu Youqing Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Dkt. Lu alifika Ikulu jijini Dar es Salaam...
View ArticleRaymond Asimulia Jinsi Alivyomshawishi Diamond Hadi Kumchukua WCB
Raymond amesimulia jinsi ambavyo alimshawishi Diamond hadi kuamua kumchukua kwenye label yake, WCB.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Elimu (Duce) Auawa Kwa Kuchomwa Kisu na Mpenzi Wake
Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Elimu (Duce), jijini Dar es Salaam, Bertha Mwarabu (23), ameuawa na mwanafunzi mwenzake kwa kuchomwa kisu kwenye titi na tumboni kwa kinachodaiwa ni...
View ArticleRais Magufuli Ateua Makatibu Tawala wa Mikoa 26
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 25 Aprili, 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu...
View ArticleKILICHOJILI LEO BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George...
View ArticleNAPE ATAJA MAJIPU MANNE KATIKA SANAA NCHINI,AAHIDI KUYATUMBUA
Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na michezo nchini,Nape Nnauye ametaja mambo manne ambayo ni vikwazo ndani ya sekta ya sanaa ya filamu nchini na kuyaita kwamba ni majipu huku akisisistiza kwamba...
View Article