Chris Brown Akiri Alitaka Kujiua Kwa Sababu ya Penzi la Rihanna
Chris Brown amesema alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Grammy mwaka 2009.Katika kipande kifupi cha makala yake ya ‘Karibu katika maisha yangu’,mwanamuziki...
View ArticleSIMANZI: Msanii Bongo Muvi Afariki Dunia Akijifungua Hospitalini
Ni simanzi! Nyota ya msanii Leila Gabriel ‘Lissa’ ambayo ndiyo kwanza ilikuwa imeanza kuchomoza kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, ilizimika ghafla mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya msanii huyo...
View ArticleRais Magufuli Azidi Kumng’ang’ania Kilango Baada ya Idadi ya Watumishi Hewa...
Rais John Magufuli ameendelea kumng’ang’ania aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango baada ya kusema idadi ya watumishi hewa katika mkoa huo imeongezeka kutoka 45 hadi 226.Aprili 11, Rais...
View ArticleMagufuli Calls Kenyans ‘Thieves and Liars’ While Opening Kigamboni Bridge
From Nairobiwire.comTanzanian President John Magufuli yesterday officially opened Kigamboni Bridge, East Africa’s first cable-stayed bridge or as normal people call it – suspension bridge.It was a...
View ArticleDereva Afa Maji Akijaribu Kuvuka Mto Kwa Kutumia Gari, Morogoro
Dereva tax aliyejulikana kwa majina ya Shakiru Hashimu mkazi wa Mdaula Ngerengere mkoani Morogoro amekufa maji baada ya kusombwa akiwa ndani ya gari wakati akijaribu kuvuka mto Ngerengere.Dereva huyo...
View ArticleMREMA Atoa Mpya..Aamua Kumfuata Magufuli Dar es Salaam ili Ampe Kazi..Adai...
Mwenyekiti wa taifa wa Chama cha TLP na aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo la Vunjo, Agustino Mrema anatarajia kusafiri kuja jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli na kumkumbusha...
View ArticleHuu hapa Muonekano Mpya wa CHID BENZ Baada ya Kukaa Sober House Kwa Mwezi...
Toka msanii Chid Benzi akubali msaada wa kumsaidia kuachana na madawa ya kulevya na kupelekwa Sober House Bagamoyo afya yake kwa sasa inaendelea vizuri sana na mwili wake umeanza kunawiri tofauti na...
View ArticleWezi wa Filamu Kufungwa Jela Miaka Mitatu Faini Milioni 5
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) itaendelea na msako mkali kwa wafanyabiashara wote wanauza kazi za filamu na muziki bila kubandika stempu halali za kodi, ili kulinda kazi hizo kwa ajili ya...
View ArticleWastara Afungukia Kuvunjika kwa Ndoa Yake na Mbunge Sadifa, Adai Kumempa Amani
Msanii wa filamu Wastara Juma amefunguka na kuzungumzia kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kupitia CCM Sadifa Khamis Juma ambayo imeduku kwa kakribani miezi 3.Akizungumza na Bongo5 hivi...
View ArticleRais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Mafisadi Wanaolalamika Kutumbuliwa Hadharani
Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana.Katika hafla hiyo, Rais Magufuli...
View ArticleUsiku wa Rona mirado hall Ulinoga sanaaaaa
Bi harusi mtarajiwa RonaRona akimpa zawadi mme wake mtarajiwa Rona akipokea fedha kutoka kwa dada yakeMc Dr Cheni akiwajibikaFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM:...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleJinsi ya Kupunguza Uzito wa Mwili/Unene Kwa Kutumia Saladi
Ulaji saladi ya spinachi, matunda ya apple na parachichi unaweza kumsaidia mtu kuwa na uzito unaotakiwa kiafya.Kabla mtu hajaanza kula mlo wake wa asubuhi, mchana au usiku anashauriwa aanze na mboga za...
View ArticleGari Aina ya Toyota Hiace Lililozama Majini Kivuko cha Kigamboni na Kuua Watu...
Lile Gari Aina ya Toyota Hiace lililozama kwenye bahari kivukoni Kigamboni na kuuwa watu wawili limepatikana na kutolewa majini na wana maji baada ya Jumatano ya April 20 2016 kuzama ikiwa na watu wa...
View ArticleRais Magufuli Awageukia Watumishi HEWA Ndani ya CCM
Rais John Magufuli juzi aliwazungumzia makada walioihama CCM wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopita, alipoeleza kuwa kuondoka kwao pengine kulimsaidia kupata ushindi.Bila kutaja majina ya...
View ArticleBosi wa Bandari Aliyetumbuliwa Jipu Akutwa na Kesi ya Kujibu Kwa Matumizi...
Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Ephraim Mgawe, pamoja na aliyekuwa Naibu wake, Hamad Koshuma, wanaokabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka wamepatikana na kesi ya...
View Article