Anne Kilango Malecela Afunguka Baada ya Rais Magufuli Kumsimamisha Kazi ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela, ameibukia kanisani na kutoa ya moyoni, ikiwa siku tano baada ya Rais Dk. John Magufuli kutengua uteuzi wake.Kilango, Jumatatu wiki hii uteuzi...
View ArticleMapokezi Ya Rais Wa Sudan Salva Kiir Ikulu Jijini Dar Es Salaam Na Utiaji Wa...
Rais wa Sudan Kusini Mhe. Jenerali Salva Kiir leo ametia saini mkataba wa nchi yake kujiunga rasmi kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki.Rais Kiir ametia saini mkataba huo leo Jijini Dar es Salaam mbele...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleRais Magufuli Azindua Ujenzi wa Barabara ya Juu 'Fly Over' Makutano ya Tazara
Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale akitoa maelezo kwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi ujwenzi wa Barabara ya...
View ArticleYANGA YAREJEA KILELENI LIGI KUU BARA
Yanga sasa imefikisha pointi 59 na kuwa kileleni katika Ligi Kuu Bara ikifuatiwa na Simba ambayo ina pointi 57, timu zote hizo zimecheza mechi 24 kila moja, zimesaliwa na mechi 6 kumaliza msimu wa...
View ArticleMakamu Wa Rais Mama Samia Suluhu Amfuta Machozi Millen Magese Mapambano Dhidi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mama Samia Suluhu amemfuta machozi Mwanadada, Happiness Millen Magese ambaye ni shujaa wa kipekee kutoka Afrika dhidi ya mapambano ya ugonjwa wa...
View ArticleRais Magufuli Awataka Mawaziri Wajiandae Kwa Machungu......Asema Wasioweza...
Viongozi serikalini wakiwemo mawaziri na makatibu wakuu, wameombwa na Rais John Magufuli, kuvumilia machungu wakati wa uongozi wake, kama ambavyo wananchi walivyovumilia tangu Uhuru.BONYEZA HAPA...
View ArticleTunda Man Apata Ajali Mbaya ya Gari Akiwa na Wenzake Watano..Taarifa za Kifo...
Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakua umekutana na taarifa inayomhusisha Tunda Man kupata ajali akiwa Mkoani iringa Asubuhi ya April 17 millardayo.com imempata Tunda Man mwenyewe na amekubali...
View ArticleDARAJA la Kigamboni Laanza Kutumika Kwa Mbwembwe...Wengine Wafanya Kama...
Baada ya Serikali kuruhusu matumizi ya daraja jipya la Kigamboni kwa watembea kwa miguu na magari kwa majaribio, hatua hiyo imepeleka neema kwa wakazi wa mji huo, huku ikipunguza idadi ya vyombo vya...
View ArticleWakenya Wameanza Tena...Waitangaza Daraja Jipya la Kigamboni Kuwa lao
Safari wamehamia kwenye daraja la kigamboni.yani wameona haitoshi kwa mlima kilimanjaro,olduvai gorge,diamond platnumz....Soma hii Hapa Chini:
View ArticleTanzia: Aliyekuwa Mkurugenzi wa BoT Amatus Liyumba afariki dunia
Aliyekuwa Mkurugenzi na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania ( BOT), Amatus Liyumba amefariki dunia, msiba uko nyumbani kwake maeneo ya Triple Seven, Mikocheni jijini Dar.Mungu ailaze roho ya marehemu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA MBIO ZA MWENGE HAPA MOROGORO LEO
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro leo.BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleRatiba ya Mkutano wa Bunge la Bajeti 2016/17 Linaloanza Kesho Tarehe 19 Hadi...
Mkutano wa Tatu (3) wa Bunge la Kumi na Moja (11) unatarajia kuanza mjini Dodoma kesho tarehe 19 Aprili 2016. Mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali.Wabunge wote...
View ArticleMtanzania Ashinda Tuzo ya Filamu za Kigeni Marekani
SOKO la filamu za Tanzania limezidi kujitangaza nje ya nchi baada ya Filamu ya ‘Daddy’s Wedding’ iliyoongozwa na Mtanzania, Honeymoon Aljabri, kushinda tuzo ya filamu bora ya kigeni katika tamasha la...
View ArticleLugumi Aakaangwa Bungeni.....PAC Yaunda Kamati Ndogo Yenye Nguvu Zaidi,...
Makamu Mwenyekiti wa PAC, Aeshi HilalyKamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) haijaridhishwa na majibu yaliyotolewa na maofisa wa juu wa Jeshi la Polisi kuhusu Mkataba wa Lugumi...
View Article