Msafara wa Rais Magufuli Kutozidi watu 10.....Balozi Mahega Asema Anategemea...
Rais John Magufuli anataraji kusafiri tena kwenda nje ya nchi hivi karibuni akiwa na msafara ambao unawezekana usizidi jumla ya watu 10.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRais Dkt. Magufuli Amfukuza Kazi Mkuu Wa Mkoa Wa Shinyanga, Mama Anne Kilango...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa mkoa wa Shinyanga mama Anna kilango Malecelakuanzia leo.Utenguzi huo umetokana na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...
View ArticleKITUMBUA Kimeingia Mchanga...Ikulu Yafuta Safari ya Wakuu wa Wilaya 10 Kwenda...
Katibu Mkuu Kiongozi John KijaziIkulu imefuta safari ya wakuu wa wilaya 10 na wakurugenzi idadi kama hiyo waliotakiwa kwenda China kwa mafunzo ya uchumi wa kimaeneo kuanzia jana, na kuna uwezekano...
View ArticleManny Pacquiao Astaafu Ndondi Baada ya Kumdunda Timothy Bradley
Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao amethibitisha kustaafu masumbwi baada ya kumdunda Timothy Bradley kwenye pambano lao la Jumamosi hii.Pacquiao alishinda kwa pointi licha ya kumwangusha Bladley mara...
View ArticleWaliozalisha Watumishi HEWA Kikaangoni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka makatibu tawala wa mikoa nchini kuchukua hatua kali dhidi ya wote waliosababisha kuwapo kwa watumishi hewa. Amesema suala hilo la watumishi hewa limeisababishia...
View ArticleHARUSI YA RICHARD MWAIKAMBO NA ADELLAH DANDU ILIKUA YA KIPEKEE CHINI YA MC DR...
MAHARUSI WETU WAKIINGIA UKUMBINIMC DR CHENI KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSIMAHARUSI WAKIWA KATIKA NYUSO ZA FURAHA MC DR CHENI AKIENDESHA SHUGHULI NZIMA KUHAKIKISHA KILA KITU KINAENDA SAWAFor...
View ArticleRais Magufuli Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Mbunge Wa Viti Maaluum Wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Aprili, 2016 ameungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki kuuaga mwili wa Mbunge Mstaafu wa Mkoa wa Singida Marehemu Christina...
View ArticleObama: Tulikosea Sana Kuivamia Libya na Kumuondoa Muammar Gaddafi
Rais wa Marekani Barack Obama amekiri kwa mara ya kwanza kwamba serikali yake ilifeli katika kutatua mzozo wa Libya.Amesema hilo huenda ndilo “kosa kubwa” zaidi alilolitenda wakati wa utawala...
View ArticleSheikh Afungwa Jela Miaka 30 kwa Kubaka Mwanafunzi wa Shule ya Msingi
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Sheikh wa Msikiti wa Goma, Hassan Bamba (48), kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kukutwa na hatia ya kubaka.Sheikh huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma...
View ArticleLady Jay Dee Akutana na Ray C Baada ya Miaka Sita...Afunguka Mazito
Mwanamuziki Mkongwe Lady Jay Dee Amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuonana na Mwanamuziki Ray C ambae yuko katika harakati za kuachana na matumizi ya madawa ya...
View ArticleUSIKU WA SHAMSA A.J NYUNDO ULIFANA SANA CHINI YA MC DR CHENI
Mc Dr Cheni na bi harusi mtarajiwa Akiwa na mumewe mtarajiwa For Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194...
View ArticleMbunge Saed Kubenea Apatikana na Hatia Mahakani...Amehukumiwa Kifungo Hichi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea kwa kosa la kutoa lugha chafu ya matusi kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleMkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Wamkana Anne Kilango Malecela.....Wadai Hata wao...
Siku moja baada ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango kuvuliwa uongozi kwa kutosema ukweli, Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Hawa Ng’humbi ameiruka taarifa ya kutokuwapo kwa watumishi hewa,...
View ArticleMrema Ajitokeza Kwa Mara Nyingine Tena Kumkumbusha Rais Magufuli Ampe Kazi...
Mwenyekiti wa TLP taifa Dkt. Augustino Lyatonga Mrema amesisistiza ombi lake la kazi kwa kumkumbusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwamba ampe kazi yoyote amsaidie...
View ArticleMjambazi watatu wauawa na Jeshi la Polisi Kahama, Shinyanga
Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga limefanikiwa kuuwa Majambazi watatu yaliokuwa yamevami duka la mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mukumbo na kumuua kwa risasi ambapo...
View ArticleTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yapongezwa Kwa Kuendesha Uchaguzi Mkuu wa...
Kamati ya Bunge ya Sheria, Katiba na Utawala imeipongeza Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kufanikisha kuendesha Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015 vizuri na kuiacha nchi ikiwa na...
View ArticleMagazeti ya Tanzania Leo Alhamisi ya April 14,2016 Vigogo wanaosubiri...
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View Article