Taswira Mbalimbali Za Rais Magufuli Na Rais Kagame Wakiwa Nchini Rwanda
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
View ArticleMiaka Minne ya Kifo cha Steven Charles Kanumba, Hii Ndiyo Hali Halisi
Hii ndiyo hali halisi! Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba ambapo ametimiza miaka minne kaburini, mambo mbalimbali yametokea tangu...
View ArticleMagazeti ya Leo Alhamisi ya April 7,2016 Ikiwemo Wabunge Wajipanga Kumtishia...
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 7
View ArticleOFFER!!! OFFER:KWA WATEJA WOTE WANAOFANYA KAZI NA MC DR CHENI MIEZI HII...
drchenitzPlz soma hapa kwa faida ya wotee....... Offer !!! offer !!!! offer!!!!! Kwa wale wote waliofanikiwa kufanyiwa kazi zao za umc Iwe send off au harusi miezi hii basi watapata bahat ya kuwapa...
View ArticleRais Magufuli ashiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya mauaji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishuhudia BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRais Magufuli Kaeleza Kwanini Hapendi Sana Kusafiri Nje ya Nchi
Tunajua Rais Magufuli amekuwepo nchini Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 mpaka April 7 jioni aliporudi Tanzania, kwenye moja ya maongezi yake mbele ya Wananchi wa Rwanda ameongea pia...
View ArticleSiri ya Rais Magufuli Kuchagua Kutembelea Nchi ya Rwanda na Kusafiri Kwa...
Tusihangaike Na Kwanini Magufuli Kachagua Rwanda Kama Nchi Ya Kwanza Kuzuru...Tujiulize, Magufuli aliyekwenda kwa Kagame kwa barabara akirudi atakuwaje?Ndugu zangu,Wahenga walisema, tembea ujionee, ina...
View ArticleBinti Mwenye Ulemavu Afungiwa Ndani Kwa Miaka Kumi na Sita Arumeru
Vitendo vya kuwafungia ndani watoto wenye ulemavu limeendelea kushamiri kwenye maeneo mengi nchini tukio la sasa likitokea katika kijiji cha njani wilayani Arumeru ambapo mtoto wa kike mweye ulemavu wa...
View ArticlePolisi Anayemiliki nyumba 40 Ang’olewa....Suzan Kaganda arithi mikoba yake
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu, amemwondoa kwenye nafasi yake, Mnunuzi wa Vifaa na Boharia Mkuu wa jeshi hilo, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP),...
View ArticleOfisi ya Wakili wa Kujietegemea Zanzibar yalipuliwa kwa bomu
Watu wasiofahamika wamelipua kwa kitu kinachohisiwa kuwa ni bomu Ofisi ya Wakili wa Kujitegemea, Omar Said Shabani, iliyopo Kiembe Samaki Zanzibar.Tukio hilo lilitokea saa 7:00 usiku wa kuamkia jana....
View ArticleKatibu TFF Akana Tuhuma za Upangaji Matokeo Ligi Daraja la Kwanza Baada ya...
Siku chache tangu kamati ya nidhamu ya TFF iwaadhibu baadhi ya viongozi wa vilabu vya ligi daraja la kwanza na kuvishusha vilabu hivyo kutokana na kupatikana na hatia ya kupanga matokeo ya michezo ya...
View ArticleRais Magufuli Amteua Bwana G. Byakanwa Kuwa Mkuu Wa Wilaya Ya Hai .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.Taarifa iliyotolewa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam...
View ArticleTaarifa Kutoka JWTZ Kuhusu Wanajensi wa Tanzania Kutuhumiwa Kuhusika na...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limeshitushwa na kusikitishwa kwa taarifa zinazo lituhumu JWTZ kuhusu unyanyasaji wa kijinsia unaodaiwa kufanywa na Wanajeshi wetu kwa Wananchi wa Jamhuri ya...
View ArticleMagazeti ya Leo Tanzania Jumamosi ya April 9,2016
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI MAGAZETI MENGINE
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleBREAKING NEWZZZ:MWANAMUZIKI NDANDA KOSOVO AFARIKI DUNIA
Globu ya jamii imepokea taarifa za Mwanamuziki mkongwe aliyewahi kujizolea sifa kem kem katika miondoko ya dansi hapa nchini wakati akiwa na bendi ya FM miaka ya nyuma kabla ya kujiengua na kuunda...
View ArticleMrema wa TLP Amuomba Rais Magufuli Atimize Ahadi yake ya Kumpa KAZI Kama...
Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour (TLP) taifa, Augustine Mrema amemuunga mkono Rais John Mgufuli kwa kasi yake ya kupambana na ufisadi na kumuomba ampe kazi ili amsaidie kutekeleza jukumu hilo....
View Article