Waongozaji Video wa nje Wanavyozidi Kuingiza Pesa Kutoka Bongo..Wakina Adamu...
Muziki wa Tanzania kwa sasa umefanikiwa kuchukua nafasi kubwa Afrika na tayari umeanza kupenya kwenye nchi nyingine duniani.Wasanii wengi wenye menejimenti nzuri yenye uwezo wa kifedha wanaonekana...
View ArticleBAADA YA MCC,SASA NCHI 10 KATI 14 ZA UMOJA WA ULAYA ZATANGAZA KUSITISHA...
Nchi 10 kati ya 14 za umoja wa Ulaya zimetangaza kusitisha ufadhili wao kwa bajeti ya serikali ya Tanzania. Nchi hizo, zikiwemo Sweden na Ireland, zimechukua hatua hiyo siku chache baada ya shirika la...
View ArticleCCM Yatoa Tamko Baada ya Wabunge Wake Kufikishwa Mahakamani Leo Kwa Tuhuma za...
Kwa kipindi cha hivi karibunin kumekuwepo na tuhuma za baadhi ya wabunge kujihusisha na masuala ya rushwa.Tuhuma hizo zimekuwa zikifanyiwa kazi na vyombo vya dola na kwamba tayari baadhi ya wabunge...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View ArticleRais Magufuli Apiga Simu Clouds TV Na Kutaja Mshahara Wake Anaolipwa....Asema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu mtangazaji wa kipindi cha Clouds360 cha CloudsTv, Hudson Kamoga baada ya kusikia watu wanazungumzia kuhusu...
View ArticleMagazeti ya Leo April 1, 2016, Ikiwemo ya Bunge Kutikiswa...
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo April 1, 2016
View ArticleMbunge wa Sumve, Richard Ndassa Naye Afikishwa Mahakamani Leo Kwa Tuhuma Za...
Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa amepandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu leo akituhumiwa BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleSAKATA la Mabosi wa NHC na EWURA Kulipwa Mshahara wa Milioni 36 Lachukua Sura...
Mabosi wa mashirika mawili ya Serikali nchini, wanaodaiwa kulipwa mshahara wa Sh milioni 36, wamekanusha madai hayo, huku wakielezea kushangazwa na taarifa hizo wakati hata nusu ya fedha hizo,...
View ArticleMafuriko yafunga Barabara kuu Itokayo Dodoma Kwenda Morogoro kwa saa 10
Zaidi ya magari 1,500 jana, yalikwama katika eneo la Chalinze Nyama wilayani Chamwino mkoani Dodoma kwa zaidi ya saa 10, baada ya mafuriko kuziba barabara kuu itokayo Dodoma kwenda Morogoro.Mafuriko...
View ArticleBreaking News: Rais wa Zanzibar Dr Shein atangaza rasmi kufutika kwa Serikali...
Akihutubia katika uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein amesema kuwa kwenye uchaguzi wa Marudio uliofanyika Machi 20, hakuna chama kilichopata kura za rais...
View ArticleMagazeti ya Siku ya Leo Jumanne Tarehe 5 April 2016 Ikiwemo ya NSSF Kuliwa...
HAPA Nimekuwekea Magazeti ya Siku ya Leo Jumanne Tarehe 5 April...
View ArticleHatimaye Utumishi Wafafanua Kuhusu Mshahara wa Rais Magufuli na Kikwete
Siku chache baada ya Rais Dk. John Magufuli, kutaja mshahara wake kuwa ni Sh. milioni 9.5 kwa mwezi, Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imefafanua mshahara...
View ArticleMtu Aliyeungua na Moto Hadi Kufa Kwenye Gari Mbezi Ajulikana..Mi Mhadhiri wa...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sayansi na Uhandisi wa Kompyuta (CoICT), Dk Richard Mgaya amefariki baada ya teketea ndani ya gari lake jijini Dar es Salaam juzi.Gari la Dk...
View ArticleFULL STORY: Mkuu wa wilaya Richard Kasesela Alivyowapeleka Polisi Watangazaji...
Siku ya kwanza ya mwezi April kila mwaka huwa ni siku ya Wajinga duniani na kila mmoja anaeifahamu hii siku huwa anazishtukia baadhi ya habari na wengine huwa wanaifanyia mzaha kweli hii siku kama...
View ArticleRais Magufuli Kusafiri nje ya nchi Kwa Mara ya Kwanza leo, Anaondoka na Gari...
Rais Magufuli Kusafiri nje ya nchi Kwa Mara ya Kwanza leo, Anaondoka na Gari sio NdegeRais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, April 5 2016 jina lake limerudi...
View ArticleMagazeti ya Leo Tanzania Jumatano ya April 6,2016
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya April 6
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...
View Article