Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Deni la Taifa Lazidi Kupaa....Lafikia Shilingi Trilion 33. 5

Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh7.05 trilioni, kutoka Sh26.49 trilioni Juni 30, 2014, hadi Sh33.54 trilioni sawa na ongezeko la asilimia 27.   BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ripoti ya CAG Yaanika 'Madudu' Kibao Serikalini

Wakati Rais John Magufuli akipambana dhidi ya ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi na uovu mwingine dhidi ya mali za umma, ripoti mpya ya ukaguzi iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA TCRA NA KUMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Ally Yahaya Simba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya Mama Lucy Kibaki Afariki Dunia

Mke wa Rais mstaafu  wa    Kenya, mama Lucy Kibaki amefariki dunia . Lucy alifariki katika hospitali ya Bupa Cromwell mjini London alikokuwa amelazwa.Alisafrishwa hadi mjini Landon wiki moja iliopita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wastara Juma Aeleza Kwanini Ndoa yake na Mbunge Imevunjika Ndani ya Siku 80,...

Mwigizaji Wastara anavyo vichwa vya habari Tanzania kutokana na ndoa yake kuvunjika ndani ya siku 80 akiwa kaolewa na Mbunge wa Zanzibar, hii ndio ndoa yake iliyowahi kukaa kwa muda mfupi zaidi…...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO TANZANIA APRILI 27,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama ya Kisutu Yafuta shtaka la Kutakatisha fedha dhidi ya Aliyekuwa bosi...

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, leo imefuta shtaka la utakatishaji fedha (money laundering) lililokuwa likimkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nay wa Mitego Aingilia Beef la Sugu na Mr Blue..Amshauri Mr Blue Nae Afute...

Ni siku chache zimepita tangu kutoka kwa video ya Freedom ya Sugu, video ambayo ameifanya na Director Hanscana, baada ya kutoka nyimbo hiyo kukatokea utata wa ngoma hiyo ambayo Mr blue akasema ngoma ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA AGNES ULIKUA MZURI SANA CHINI YA MC DR CHENI

Bi harusi mtarajiwa Agnes na Mc Dr CheniMc Dr Cheni akimkabidhi zawadi ya ramani ya nyumba bi harusi mtarajiwa AgnesFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanri Aagiza Wahusika Watumishi Hewa Kukamatwa

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Aggrey Mwanri, ametoa siku saba kwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya naBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge MABUBU Kubanwa Bungeni......Ni Wale Wanaoshiriki Vikao vya Bunge...

Kiti cha Spika wa Bunge kimesema ipo haja ya kufanya marekebisho ya Sheria pamoja na Kanuni ili kila mbunge apate posho kulingana na kazi aliyofanya bungeni, badala ya utaratibu wa sasa wa kuangalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi ya April 28,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Harusi ya fredrick mchopa ilinogaa sana chini ya mc dr cheni

Mr and Mrs Mchopa katika picha na Mc Dr Cheni  Maharusi wakiingia kwa furahaMc Dr Cheni on the stage akilishambulia jukwaa     kuhakikisha waalikwa wanafurahi mwanzo mwishoFor Booking Please Call Mc Dr...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Usiku wa veronica ulikua wa kipekee chini ya mc dr cheni

 Bi harusi mtarajiwa Veronika Waziri mkuu mstaafu mh John Malecela Mc dr cheni na bi harusi mtarajiwa veronika Mc dr cheni,veronika na Getrude Lwakatare Mh Getrude Lwakatare Mama mkubwa wa veronica...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyabiashara Walioficha Sukari Waanza Kukamatwa

Kauli  ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa baadhi ya wafanyabiashara wameficha sukari ili kutengeneza uhaba sokoni utakaopandisha bei ya bidhaa hiyo, imedhihirika baada ya baadhi ya wafanyabiashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 30,2016

BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jana Ilikuwa Siku ya Kuzaliwa ya Chid Benz, Mama Yake Afungukia Kuhusu Bonge...

Siku ya jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa msanii chid benz ambaye yupo sober ‘bagamoyo sober house’,takribani miezi miwili na alipelekwa huko baada ya afya yake kuonekana kudhoofika kwa kiasi kikubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naonyesha Mali Zangu Kuwapa Nguvu Vijana-Nay

Msanii Nay wa Mitego amesema mara nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyo miliki zikiwepo gari, nyumba hata pesa kwa lengo kuu moja, anadai anafanya hivyo ili kuwatia moyo vijana ambao wamekata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPA WEMBA AMELISHWA SUMU ????

BADO kifo cha Mwanamuziki wa Dansi na Rhumba, Shungu Wembadio ‘Papa Wemba’ kinazidi kuzua maswali mengi huku watu mbalimbali wakijenga hoja kuwa huenda mwanamuziki huyoBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>