Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Jana Ilikuwa Siku ya Kuzaliwa ya Chid Benz, Mama Yake Afungukia Kuhusu Bonge la Party

$
0
0
chid45Siku ya jana ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa msanii chid benz ambaye yupo sober ‘bagamoyo sober house’,takribani miezi miwili na alipelekwa huko baada ya afya yake kuonekana kudhoofika kwa kiasi kikubwa na kuwatisha watu wengi hadi kumfanya babutale amshauri aingie sober house.

Lakini kwa sasa amekuwa na mabadiliko makubwa katika muonekano wake ukilinganisha na jinsi alivyokuwa wakati akiingia.
Kabla siku ya ‘birthday’ yake haijafika mama yake mzazi alitamani kumfanyia bonge la party ili kumfariji mtoto wake lakini haijawezekana kwa sababu yupo sober.
‘’Nina mpango wa kufanyia sherehe kubwa mtoto wangu kwenye ‘birthday’ yake tarehe 28 mwezi wa nne’’Alisema mama yake Chid Benz kabla Chid hajapelekwa Sober Bagamoyo.

cloudsfm.com

Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>