Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ yaanza kwa kasi

Kampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ iliyoanzishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda imeanza kwa mafanikio asubuhi hii baada ya wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa muziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera Mr and Mrs kimossa harusi yenu ilinogaaa sanaaa

 nami mc dr cheni mshereheshaji wa harusi yao ilinoga sana Mr and Mrs kimossa  Mr and Mrs kimossaTwanga nao walikuwepoFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Abiria Wanusurika Kufa Katika Ajali ya Ndege Mjini Bukoba Leo

Watu kadhaa wamenusurika  kufa baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Auric Air waliyokuwa wakisafiria kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa ya Bukoba ilipokuwa ikitua na rubani kupoteza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Jumapili Ya Tarehe 1 Mei 2016

SOMA MAGAZETI MENGINE BONYEZA HAPA LEWIS MBONDE BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu 4 na wengine 29 Wajeruhiwa Baada ya Basi la HBS Walilokuwa Wakisafiria...

Watu wanne wamekufa papo  hapo na wengine 29 kujeruhiwa baada ya basi la HBS linalodaiwa kuwa ni mali ya kampuni ya Sabena walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Tabora kuacha njia na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafungwa Wanaosubiri Kunyongwa Magerezani Wafikia 465

IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994.Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

PROJECT PROPOSAL ............................................................300,000/=RESEARCH PROPOSAL WRITTING.......................................250,000/=RESEARCH PAPER...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA

 Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Mei Mosi: Rais Magufuli Asema Wafanyakazi HEWA Wamefikia 10,295

Idadi wa watumishi hewa nchini  imeendelea kuongezeka ambapo takwimu za jana zinaonyesha kuwepo kwa watumishi BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZ…RAIS MAGUFULI AMPANDISHA CHEO TRAFIKI ALIYEMKAMATA MKE WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Kamishna wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernesti Mangu kumpandisha cheo askari wa Usalama barabarani ambaye alitukanwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Mei Mosi : Rais Magufuli Ashusha Kodi ya Mapato Ya Mshahara (PAYE)...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli  ametangaza kushusha kodi ya mapato ya Mshahara ( Pay as you Earn -PAYE  )  kutoka asilimia 11 iliyopo sasa hadi asilimia 9.Rais amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya May 2,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMBA ASOMA BAJETI YA MAZINGIRA LEO BUNGENI MJINI DODOMA.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano January Makamba akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2016/2017 leo Bungeni mjini Dodoma.Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI...

ba1: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA AJA NA MBINU MPYA KUTAFUTA WATUMISHI HEWA

 Wakuu wa Idara mbalimbali  wa Manispaa za jiji la Dar es Salaam wakiapa kiapo cha mkataba wa kutafuta watumishi hewa katika manispaa za jijini la Dar es Salaam leo walipo apishwa na mkuu wa Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE MKE WA WAZIRI MAHIGA ALIYE SABABISHA TRAFIK KUPANDISHWA CHEO NA...

Mke wa waziri anayesemwa kuzozana na Askari wa Usalama Barabarani niBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Awajibu Wanaojaribu Kumuachanisha na Zari

Kumekuwa na taarifa zilizosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kuhusiana na ‘video Queen’ wa ngoma mpya ya Raymond Tip Top iitwayo ‘Kwetu’ aitwaye Lyyn kuwa anatoka na msanii wa Bongo Fleva,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mzee Majuto Afungukia Kuacha Kuigiza, Amrudia Mungu

Mzee majuto ambaye amejipatia umaarufu sana kwa uigizaji hususani katika Comedy ametoa kauli rasmi kuwa kwa sasa ameamua kuachana na kazi hiyo ya uigizaji na sasa kumtumikia Mungu na kuomba asamehewe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOMO MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE MEI 3,2016

BONYEZA HAPA KUSOMA MAGAZETI MENGINE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyejifungua Watoto 3 Anaomba Asaidiwe kwani naye ni Mgonjwa wa Pumu

MKAZI wa Kijiji cha Mapinduzi Kata ya Kigwe Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Julietha Sokoine (24) amejifungua watoto wa watatu na ameiomba serikali, taasisi,mashirika na watu binafsi kumpatia msaada wa...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>