Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Kampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ yaanza kwa kasi

$
0
0

Kampeni ya usafi ‘UsijifanyeMstaarabuKuwaMstaarabu’ iliyoanzishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda imeanza kwa mafanikio asubuhi hii baada ya wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa muziki kujitokeza kwa wingi.
Diamond, Ruge Mtahaba pamja na mwanamitindo Millen Magese
Diamond, Ruge Mutahaba pamoja na mwanamitindo Millen Magese


Bongo5, imekukusanyia picha za matukio mbalimbali ya usafi kutoka katika sehemu mbalimbli za jiji la Dar es salaam, kabla ya kwenda Leaders Club ambapo Makonda atazindua ramsi kampeni hiyo pamoja na kuzungumza na wananchi kuhusu kampeni hiyo.
Diamond akiwa katika usafi
Diamond na wadau wengine katika usafi
Sister wakiwa kazini
Sisters wakiwa kazini
Wananchi wakiwa  wamejitoka kwa wingi
Wananchi wakiwa wamejitoka kwa wingi


IMG_5414
Raymond kutoka WCB akiwa na Diamond

IMG_5443 - Copy
IMG_5444 - Copy
IMG_5442 - Copy
IMG_5441 - Copy
IMG_5440 - Copy
IMG_5434 - Copy
IMG_5435 - Copy
IMG_5436 - Copy
IMG_5437 - Copy
IMG_5439 - Copy
IMG_5433 - Copy
IMG_5430 - Copy
IMG_5429 - Copy
IMG_5428 - Copy
IMG_5427 - Copy
IMG_5422 - Copy
IMG_5423 - Copy
IMG_5424 - Copy
IMG_5425 - Copy
IMG_5426 - Copy
IMG_5421 - Copy
IMG_5420
IMG_5401
IMG_5404
IMG_5405
IMG_5408
IMG_5399
Wananchi wakiwa  wamejitoka kwa wingi
IMG_5397


Chanzo Bongo5.com 


Viewing all articles
Browse latest Browse all 2428

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>