CALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleRapper John Woka Apata Ajali ya Kulipukiwa na Gesi, yupo ICU
Rapper John Woka Apata Ajali ya Kulipukiwa na Gesi, yupo ICURapper anayejulikana kwa kurap kama mlevi, John Woka, amepata ajali ya kulipukiwa na mtungi wa gesi. Kwa sasa amelazwa kwenye hospitali ya...
View ArticleWaziri wa Afya awasimamisha wakurugenzi wanne MSD
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Watoto na Wazee Mhe. Ummy Mwalimu amewasimamisha wakurugenzi wanne toka Bohari ya Dawa ya Taifa(MSD) kwa ubadhilifu wa fedha takribani Shillingi Billion 1.5....
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleBarua aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff kutoka gerezani China
Ikiwa ni miaka miwili toka video vixen Jackie Cliff akamatwe kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya, ameandika barua ya wazi kwa...
View ArticleMfanyakazi Wa Kihindi Afukuzwa Kazi Nchini Kwa Kuwaita Watanzania Nyani
Raia wa India, Dennis Smith ameachishwa kazi katika Hoteli ya Ramada kwa madai ya kuwatukana wafanyakazi wa ngazi za chini akiwaita nyani. Smith, ambaye ni meneja wa chakula na vinywaji wa hoteli hiyo,...
View ArticleBREAKING NEWS: MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA NNE -2015 YAMETOKA MUDA...
Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 0.80.Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza...
View ArticleBarack Obama Asema Donald Trump Hawezi Kuwa Rais wa Marekani
Rais wa Marekani Barack Obama amesema anaamini mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani.Rais Obama ameyasema hayo wakati wa mkutano mkuu wa kiuchumi wa nchi za...
View ArticleRais Magufuli Apiga Marufuku Uingizwaji wa Sukari toka Nje
RAIS John Magufuli amesema amedhamiria kwa dhati kufufua viwanda vya ndani na kama mfano amepiga marufuku kwa kiongozi yeyote wa serikali, kutoa kibali cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi zaidi...
View ArticleShule 10 Bora Kitaifa na Shule 10 za Mwisho Kitaifa Ziko...
Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa asilimia 0.80.Akitangaza matokeo hayo, Katibu Mtendaji wa Baraza...
View ArticleHuyu Ndiye Mwanafunzi Mchina Aliyeshika Nafasi ya Pili Matokea ya Kidato cha...
Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne Feza Girls 2015 , Mtanzania mwenye asili ya China, Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa ,amepata Divisheni 1.7 yenye 'B' ya Kiswahili!Nini maoni yako?
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleMama Apewa Mimba na Mtoto wake wa Kumzaa..Adai Wako Katika Mapenzi Mazito na...
Mama wa miaka 40, Betty Mbereko wa huko nchini Zimbabwe anataka aoelewe na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko (23). Imeelezwa kuwa wawili hao wako kwenye mapenzi makali na hivyo kuamua kuupeleka...
View ArticleHuyu Ndo Binti Aliyeongoza Kitaifa Katika Matokeo ya Mtihani wa Kidato Cha Nne
Huyu ndiye Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne toka shule ya Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake...
View ArticleUsiku wa Mr and Mrs Godrich Swai Ulifana Sana
MAHARUSI WETU MR MRS GODRICH SWAI WAKIWA WENYE FURAHA MC DR CHENI AKIHAKIKISHA KILA KITU KINAENDA SAWAFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222...
View Article