Wadaiwa Sugu Bodi ya Mikopo Kitanzini......CAG Apewa Jukumu La Kuwasaka...
BODI ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imetoa onyo kwa wadaiwa sugu ambao hawajajitokeza kuanza kulipa madeni yao, kwamba hatua mbalimbali dhidi yao zinatafuata kokote waliko.Miongoni mwa hatua hizo,...
View ArticleMC DR CHENI ALIIFANYA HARUSI HII IWE YA KIPEKEE
Mc Dr Cheni akiwajibika ukumbiniMaharusi wakilishana keki Bi harusi akitabasamu Mdomo kufanya hivyo ni mzuka wa kazi tu Mc Dr Cheni akisherehesha kwa mbwembweWageni waalikwa katika picha ya pamoja
View ArticleUchaguzi wa Marudio Zanzibar: Jecha Adai Maalim Seif Ni Mgombea Halali Na ZEC...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, ameibuka tena na kutangaza kukamilika kwa matayarisho ya uchaguzi wa marejeo Machi 20, mwaka huu huku akikataa kutoa majina ya...
View ArticleCheni Arts Creation Company Ltd Wasambazaji wa Filamu za Kibongo
Inatoa nafasi ya kuchukua filamu za wasanii wachanga na wakubwa kwa ajili ya kuzipeleka kwenye tv stesheni zilizowai kutoka na atakama kazi yako ujaitoa tutaichukua kwa makubaliano maalumu ili tuweze...
View ArticleCALL NOW +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE...
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleWabunge wa Upinzani Waingia na Mabomu ya Machozi Bungeni...Wavaa Gas Mask na...
Hili ni bunge la Kosovo, nchi iliyojipatia uhuru mwaka 2008 baada ya Yugoslavia kusambaratika. Bunge la Kosovo ni bunge linaloongoza kwa vituko barani Ulaya.Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano mkali...
View ArticleMagufuli Atinga Kivukoni kwa Kushtukiza, Akuta Ofisi zipo Wazi
Rais mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh ndg Dr. John Pombe Magufuli kavamia hivi punde katika ofisi za vivuko Magogoni na kukuta ofisi zote zipo wazi hazina watu zaidi ya baharia mmoja tu...
View ArticleMpinzani wa Museveni, Dr. Besigye Akamatwa Tena........Museven Aeleza Sababu...
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. Dr. Besigye amekamatwa alipokuwa akijaribu kuondoka nyumbani...
View ArticleBarua ya Jack Cliff Yazua Simanzi Upya
Ikiwa imekatika miaka miwili tangu alipokamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, nchini China, Video Queen, Jack Cliff ameibua simanzi upya baada ya kuandika barua ya wazi kwa Watanzania.Simanzi hiyo...
View ArticleJB Atembelea Kituo cha Kulelea Watoto Yatima
Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ mwishoni mwa mwaka uliyopita alitembelea kituo cha Watoto Yatima cha Msimbazi Centre kilichopo Ilala na kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleBREAKING NEWS:MAJIPU YAENDELEA KUTUMBULIWA ,ALIYETUMBULIWA JIPU NUSURA AZIMIE...
NA KAROLI VINSENTWAZIRI wa nchi,ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala bora,Angella Kairuki amemsimisha kazi mkuu wa chuo cha utumishi wa umma nchini Said Nassoro kutoka na uzembe...
View ArticleTCRA Yaifungia Video mpya ya Wimbo ‘Zigo remix’ ya AY Aliyomshirikisha...
Ambwene Yessaya ‘AY’ amethibitisha kupokea taarifa ya kufungiwa kwa video ya wimbo ‘ Zigo remix’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRais Mugabe Atimiza miaka 92.....Wasaidizi wake Wasema Atawania Tena Urais...
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametimiza umri wa miaka 92 huku chama chake kikisema atawania tena urais 2018. Mnadhimu wake mkuu alisema kiongozi huyo ambaye ameongoza nchi tangu mwaka 1980, bado ana...
View ArticleUingereza Yammwagia Sifa Rais Magufuli Kwa Kasi Yake Ya Kukusanya Mapato na...
Nchi ya Uingereza imempongeza Rais John Magufuli kwa utendaji wa serikali yake hususani katika kupambana na ubadhirifu wa mali za umma na ufisadi, kwa siku chache alizokaa madarakani.BONYEZA HAPA...
View Article