Askari Aporwa Bunduki Aina ya SMG na Majambazi waliokua na silaha za jadi
Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha mbalimbali za jadi, wamempora bunduki aina ya SMG askari polisi PC Shadrack.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma, David Mnyambuga alisema tukio...
View ArticlePamoja na Operesheni 13, hii ni sababu inayomfanya Millen Magese asikate tamaa
Kufanyiwa upasuaji mara 13 si kitu cha mzaha. Na tena kwa tatizo lenye maumivu makali kama la Endometriosis. Kipi kinachompa nguvu ya kuendelea kuinuka na kupaza sauti kuhusu tatizo hilo?“Ninaamini...
View ArticleMaalim Seif Sharif Hamadi Arejea Zanzibar Baada ya Kukaa Mapumzikoni Serena...
Siku chache baada ya Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein kuapishwa baada ya kushinda uchaguzi wa marudio uliosusiwa na baadhi ya vyama vya upinzani, Katibu mkuu wa chama cha wananchi (CUF), Maalim...
View ArticleWanajeshi 8 wa JWTZ Watiwa Mbaroni Wakituhumiwa Kumuua Raia Waliyedai...
Askari nane wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kigona wakituhumiwa kwa mauaji ya Erick Nilamewa (16) waliyemtuhumu kuwaibia simu moja aina ya Techno na Sh....
View ArticleSakata la Tumbili 61 Waliokamatwa Uwanja wa Ndege Lachukua sura Mpya
Serikali imeunda kikosi kazi kinachohusisha taasisi nyeti nchini kuchunguza sakata la kukamatwa kwa raia wawili wa Uholanzi wakiwa katika harakati za kusafirisha tumbili 61 kwenda nchini Albania....
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleMagazeti Ya Leo Tanzania Jumapili Ya March 27,2016
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya March 27
View ArticleMtoto wa Siku Moja Aibwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando
Mtoto wa siku moja ameibwa katika mazingira ya kutatanisha katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, akiwa pembeni mwa mama yake aliyekuwa amelala, mwenye umri wa miaka 16.Akizungumzia uporaji huo jana,...
View ArticleBREAKING NEWZZZ......RAILA ODINGA ADONDOKA NA JUKWAA WAKATI AKIHUTUBIA JIJINI...
Hii imetokea leo. What does this mean?Cord leader Raila Odinga is reportedly nursing injuries after he was injured during a recent trip to Mombasa County.Odinga was addressing his supporters when a...
View ArticleWasanii Bongo Muvi Wachangia Damu Palestina
Mkongwe wa filamu, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’akishiriki zoezi la kuchangia damu. Anayemuhudumia ni muuguzi wa Hospitali ya Palestina. Mzee Chilo na Bakari Makuka wakiwa tayari wanatolewa damu. Baadhi ya...
View ArticleKutana na Bilionea Mtanzania Anaetaka Kuanzisha Benki yake… Anawazia Kuinunua...
Inabidi ujue Tanzania inao watu wenye pesa zao na wanayo malengo au mipango mikubwa zaidi ya kibiashara ambayo kama ikienda inavyotakiwa wanaweza kuifanya nchi hii kutajwa zaidi kuwa na matajiri...
View ArticleUtafiti: Wanawake Wanne Kati ya 10 Wanaofanya Biashara ya Ngono Wana UKIMWI
Utafiti uliofanywa na Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na upimaji wa virusi vya Ukimwi la MATUMAINI, unaonyesha kuwa kati ya wanawake kumi wanaofanya biashara ya ngono wanaopima wanne kati...
View ArticleRay C Akana Kurudia Madawa ya Kulevya
Msanii Ray C amevijia juu vyombo vya habari vinavyoandika taarifa za uongo juu yake, kuwa amerudia kutumia madawa ya kulevya, na kuahidi safari hii atavifikisha mahakamani.Katika ukurasa wake wa...
View ArticleMarekani Yasitisha Msaada wa Mabiloni ya Pesa Kwa Tanzania.
Shirika la ufadhili la serikali ya Marekani limesitisha msaada wake kwa serikali ya Tanzania likilalamikia matukio kuhusu BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleTaarifa ya ACT-Wazalendo:Uamuzi Wa Bodi Ya Wakurugenzi Ya MCC Wa Kusitisha...
TAARIFA KWA UMMAUAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MCC WA KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA YATAWAUMIZA WANANCHI WA VIJIJINICHAMA cha ACT-Wazalendo kimeupokea kwa masikitiko makubwa uamuzi wa Bodi ya...
View Article