Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atekeleza Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa mtu kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam la kuhakiki silaha, ambapo bunduki zake mbili aina ya Shortgun na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Tanzania Jumanne ya March 22,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Sarah Dumba afariki dunia

Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba amefariki dunia jana jioni ya  baada ya kuugua ghaflaMkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa msiba huo, na kueleza kuwa marehemu Sarah...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR CHENI AMUUNGA MKONO PAUL MAKONDA KATIKA KAMPENI YA KUWEKA JIJI LA DAR SAFI

  Katika kuonekana kukubali kampeni ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mheshimiwa Paul Makonda, ya kuliweka jiji safi la mkoa wa Dar es salaam ambapo kampeni hiyo imepewa jina la#DSMPaulMakonda Dr Cheni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LULU ATOA SADAKA YA SHURANI KANISANI KWAKE BAADA YA KUSHINDA TUZO

Baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Movie East Africa’ @elizabethmichaelofficial siku ya jana aliweza kuhudhuria ibada katika kanisani la Living Water Centre (Kawe Makuti) likiwa chini ya Mtume ‘Enesmo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Magufuli Atuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Ghafla Cha...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema Nchimbi, kufuatia kifo cha ghafla cha Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zitto Kabwe Atangaza Kujiuzulu Ujumbe Kamati ya Huduma Za Jamii Baada ya...

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wammepokea rushwa.Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAWA Washinda Umeya wa jiji la Dar es Salaam....Wamepata Kura 84, CCM Kura 67

Hatimaye uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam umekamilika leo katika ukumbi wa Karimjee, na kushuhudia Isaya Mwita wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitangazwa kuwa mshindi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Jumatano ya March 23,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Profesa Jay Afunguka Kuhusu Chid Benz Kutumia Madawa ya Kulevya

Mbunge wa Mikumi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule ‘Profesa Jay’ (pichani) amesema hali ya Mbongo Fleva, Rashid Abdallah Makwiro (31) ‘Chid Benz’ ni matokeo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALI KIBA Asikia Kilio cha Mashabiki Wake..Abadili Uongozi Wake na Kusema Haya

Kupitia Magic Fm jana Alikiba alisema kuwa amebadili uongozi wake na baadhi ya watu hawatokuwepo kabisa.Ukitaka kujua nimebadili ngoja uone kwa sasa mambo yatakavyokuwa fans wangu wanataka bampa to...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babutale 'Nilipomuona Chid Benzi Mwanzo Kwa Jinsi Alivyo Sasa Nilidhani...

Meneja wa msanii Diamond Platnum na kundi la Tip top Connection, Hamisi Taletale alimaarufu kama Babutale amefunguka na kusema kuwa alipomuona Chid Benzi mwanzo alidhani msanii huyo ameathirika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya March 24,2016 Ikiwemo ya Wabunge Mikononi Mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uhakiki Wa Watumishi HEWA Hautachelewesha Mishahara Ya Watumishi

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Shein Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa awamu ya 7 wa Zanzibar

Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein ameapa kuwa Rais kwa mujibu wa katiba katika kuongoza wananchi wa Zanzibar kwa muda wa miaka 5.Rais Mteule ameapishwa na Jaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH PAUL MAKONDA AANDIKA UJUMBE MZITO BAADA YA KUMTEMBELEA KADINALI PENGO

 Vitabu vinasema; maana mamlaka yote hutoka kwa Mungu; nao wenye mamlaka wamewekwa na Mungu. Namshukuru Mhadhama Polycarp Cardinal Pengo kwa maombi yako kwa maana mamlaka yangu ya kutumikia watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Ijumaa ya March 25,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanafunzi Afa kwa Kupigwa na radi Porini Alikokuwa Amejificha

Mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Swaila, kata ya Mkwamba wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Maria Pangani (14) amekufa papo hapo baada ya kupigwa radi.Mwanafunzi huyo aliyekuwa akisoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Atoa Zawadi Ya Pasaka Ya Milion 9 Kwa Watoto Yatima na Wazee...

Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametoa zawadi mbalimbali zenye  thamani ya shilingi milioni tisa laki tatu na elfu sabini kwa vituo 24 vya kulelea watoto yatima na wazee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION

BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>