Breaking News: Rais Magufuli ateua wakurugenzi wakuu wapya NSSF, TBC na RAHCO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa watendaji wakuu wa Taasisi tatu za serikali kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo.BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleHATIMAYE GAIDI ALIYEUWA WANANCHI 137 PARIS LAKAMATWA NA POLISI
(CNN)After a four-month search for Europe's most-wanted fugitive, Paris terror attacks suspect Salah Abdeslam was BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleRC PAUL MAKONDA AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasu suala la usafi wa mazingira. Katibu Tawala...
View ArticleUchaguzi Zanzibar : Mgombea Urais wa CCM Dr. Shein Apiga Kura Asubuhi Hii
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura katika uchaguzi wa marudio kituo namba...
View ArticleMakamu wa Rais Bi Samia Suluhu Apiga Kura Visiwani Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samia Hassan Suluhu amepiga kura viwasini Zanzibar katika uchaguzi wa marudio unaofanyika leo. Bi Samia amrwapongeza wananncji wa Visiwa vya...
View ArticleDr. Shein: Nategemea Ushindi wa Kishindo.
Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar Dkt Ali Mohammed alizungumza na wanahabari baada ya kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Kibera kisiwani Unguja ambapo alisema anaamini...
View ArticleUchaguzi wa Marudio Zanzibar Unaendelea Kwa AMANI na UTULIVU.......Wananchi...
Wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura katika uchanguzi wa marudio baada ya kufutwa kwa uchanguzi uliofanyika October 25,2025 kutokana na kasoro zilizojitokeza.Katika baadhi ya vituo wananchi...
View ArticleChristopher Ole Sendeka Ateuliwa Kuwa Msemaji Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Chama cha Mapinduzi CCM leo kimemtangaza Christopher Ole Sendeka kuwa msemaji mpya wa CCM kuanzia leo.Sendeka ametangazwa rasmi na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Abdulrahman Kinana mbele ya Waandishi...
View ArticleMgombea Urais wa ADC Hamad Rashid Akiongea Na Waandishi wa habari Baada ya...
Mgombea Urais kupitia Chama cha ADC Mheshimiwa Hamad Rashid akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari Wawi Kisiwani Pemba
View ArticleDa Zitta: Filamu za Bongo Zinalipa
MAPRODYUZA wanaochipukia katika tasnia ya filamu wengi wao hawafikii malengo waliyojiwekea kutokana na kukatishwa tamaa na baadhi ya wasanii na maprodyuza wenye majina makubwa ambao wanaogopa...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleKichanga Mwingine Adaiwa Kufariki Dunia Kwa Uzembe Mkoani Mwanza
Matukio ya wajawazito kupoteza watoto kwa madai ya uzembe wa wahudumu wa afya yameendelea kuugubika Mkoa wa Mwanza baada ya mkazi wa Nyarawambo wilayani Sengerema Tatu Muhangwa, kujifungua na mtoto...
View ArticleMtoto Afariki Kwa Kukosa Matibabu..Wazazi Waliamini Maombi Pekee
Mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Laela A, Ruti Sikapitaamefariki dunia baada ya wazazi wake kukataa kumpeleka hospitali kwamadai kuwa imani ya dhehebu lao haliruhusu waumini wake kutibiwa...
View ArticleKuteleza si Kuanguka, Chidi Benz Asaidiwe Anatia huruma sana
Hivi ndivyo Chidi Benz anavyoonekana kwa sasa. Katika mitandao ya kijamii Jumamosi iliyopita kulisambaa picha za rapa Chidi Benz ambazo zinamuonyesha jinsi alivyokonda na kupoteza ule mwili wake wa...
View ArticleRais Magufuli Ampongeza Dr. Shein kwa Kushinda Urais Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za pongezi Rais Mteule wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, kufuatia BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMsafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI Wapata Ajali Mbaya Bagamoyo...
WATU watano wamefariki dunia huku nane wamejeruhiwa, katika ajali iliyoyahusisha magari manne, mawili yakiwa katika msafara wa Kamati ya Bunge Utawala na TAMISEMI maeneo ya Kerege, Bagamoyo...
View ArticleDr. Ali Mohammed Shein Atangazwa Rasmi kuwa Mshindi wa Kiti Cha Urais...
Mgombea wa urais kupitia chama cha CCM Visiwani Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ameshinda kiti cha urais kwa jumla ya kura 299,982 awa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 katika uchaguzi wa...
View Article