Kamishna Wa Jeshi La Polisi Zanzibar Azungumza Na Wandishi Wa Habari Juu Ya...
Na Mwashungi Tahir na miza Kona – Maelezo Zanzibar Nyumba ya Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame imeripuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu na watu wasiojulikana majira...
View ArticleMzee wa Miaka 75 Amepigwa na Mpangaji Wake Hadi Kufa Kisa Bili ya Umeme.....
Mzee wa miaka 75 mkazi waBONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMtoto wa Siku 5 Aibiwa Hospitalini Usiku Wakati Mama Yake Akiwa Amelala
Hali ya sintofahamu imeibuka katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru baada ya mtoto mchanga wa siku tano kuibiwa wodini katika mazingira ya kutatanisha. Tukio hilo limezusha hofu kwa baadhi ya...
View ArticlePICHA MASTAA WA BONGO WALIVYOMUANDALIA PARTY MKUU WA MKOA MH PAUL MAKONDA
March 13 2016 Rais John Pombe Magufuli aliwateuwa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania na baadhi ya wakuu hao ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda, March 15 mastaa wa bongo...
View ArticleMakonda aanza kazi kwa kishindo, awapa wakuu wa idara saa 24
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akishukua kutoka kwenye gari lake la Ukuu wa Mkoa wakati alipokuwa akifika kwa mara ya kwanza ofisini kwake Dar es Salaam leo mchana. Katibu Tawala...
View ArticleBreaking News: Balozi Juma Mwapachu Leo Atangaza kurudi CCM...Asema Alifanya...
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM-MIKOCHENI 16/03/2016Ndugu zangu,Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu yaBONYEZA HAPA KUSOMA...
View ArticleJina la Msanii wa P Square Analotumia Kama Solo Artist ‘Mr P’ Limepondwa na...
Jina la msanii wa P Square analotumia kama solo artist ‘Mr P’ limepondwa na kukataliwa na mashabiki wa muziki Nigeria na wengi wametoa majina kadha anayoweza kutumia kama solo artist.Majina haya niMr...
View ArticleRais Magufuli na Mkewe Wavutiwa na kipindi cha Clouds 360 mpaka Wameamua...
Rais John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runinga kama mtazamaji wa kawaida akichangia yaliyokuwa yanajadiliwa...
View ArticleTaarifa ya Wizara kuhusu filamu iliyompatia tuzo Elizabeth Michael "Lulu"
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKumekuwa na minongono mingi kutoka kwa baadhi ya wananchi kuhusu Filamu ya Mapenzi ya Mungu ya msanii Elizabeth Michael (Lulu) iliyoshinda tuzo ya Filamu bora Afrika...
View ArticleMashauzi Yanapoteza Wasanii Wengi-Diamond Platnumz
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Diamond Platnumz amedai kuwa mafanikio yake kimuziki na kuzidi kuendelea kufanya vizuri ni kutokana na ukweli kwamba yeye...
View ArticleUTAFITI MPYA UNAONYESHA NCHI HII NNDIO NCHI MASIKINI ZAIDI AFRIKA
Afrika ni bara ambalo tafiti kadhaa zinafanyika na zimeendelea kufanyika, Matokeo ya Utafiti wa Africa Wealth umeitaja Zimbabwe kuwa ndio nchi Maskini. Inatajwa kuwa wizi wa kura, ukosefu wa kuheshimu...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Atangaza Zawadi ya Milioni 1 Kwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa jeshi hilo ambapo BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleUchaguzi Zanzibar: Chama cha CUF kimewataka wanachama na wananchi wote kukaa...
Siku ya Jumapili, tarehe 20 Machi 2016, Zanzibar itashuhudia, kwa mara nyingine tena, ubakwaji wa demokrasia kwa kufanyika kile kinachoitwa Uchaguzi wa Marudio’ kufuatia tamko binafsi la Mwenyekiti wa...
View ArticleMaandalizi ya Uchaguzi Visiwani Pemba Yakamilika....Wananchi Watakiwa...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imesema maandalizi ya uchaguzi visiwani Pemba yamekamilika na kuwataka wananchi kujitokeza kesho kupiga kura na kuachana na dhana kuwa kutakuwa na vurugu.Mwandishi wetu...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View Article