Nimekasirika Kupata Hii Tuzo Kutoka Nigeria - Richie Afunguka Adai Alitaka...
Richie ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Weekend Breakfast siku ya jumapili,, na kusema kuwa baada ya filamu yake kuingia kwenye hizo category mbili aliamini yeye anaweza hivyo...
View ArticleLulu: Hakuna Ushirikina Kwenye Ushindi Wangu....Adai Toka Utoto wake yeye...
Lulu amesema kuwa haamini ushirikina wala hajawahi kufanya kazi yoyote katika ushirikina kuanzia utoto wake.Amefunguka hayo usiku wa kuamkia jana kupitia Friday Night Live ya EATV na EA Radio baada ya...
View ArticleBreaking News: Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa 26....Kati Yao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5...
View ArticleAJALI: Basi la Leina Tours lapata ajali Kimara Bucha
Basi la Leina Tours lililokuwa likitokea Kahama kuja Dar es Salaam, limeacha njia na kutumbukia katika mtaro eneo la Kimara Bucha usiku wa kuamkia leoIdadi ya waliofariki haijafahamika ila...
View ArticleKauli Ya Abbas Kandoro Baada Ya Rais Magufuli Kukata Jina Lake na Kutomchagua...
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli alitoa orodha ya wakuu wapya wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara.Katika orodha hiyo Rais Magufuli , amewaacha wakuu kadhaa akiwamo...
View ArticleShule Ya Sekondari IYUNGA Ya Jijini Mbeya Yafungwa
Uongozi mkoani Mbeya umeifunga Shule ya Sekondari Iyunga baada ya mabweni matatu kuungua moto na wanafunzi kulala nje kutokana na kuyaogopa mabweni yaliyobaki.Kwa kawaida likizo fupi ilitakiwa kuwa...
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleVIDEO: EXCLUSIVE: Paul Makonda Kaongea nini Baada ya Kupewa Ukuu wa Mkoa Dar?
Headline zilizoongoza kwenye magazeti ya Tanzania March 14 2016 ni kuhusu uteuzi wa wakuu wa mikoa nchini, miongoni mwa waliozikamata zaidi headline hizo ni aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul...
View ArticleWALIMU WANAO TUHUMIWA KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAFUNZI WAUNDIWA TUME
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Mwanza kimeunda kamati kuchunguza tuhuma dhidi ya baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari Mihama wilayani Ilemala kujamiiana na wanafunzi wao.Mwenyekiti wa CWT...
View ArticleKAMA UNAHITAJI MC WA SHEREHE MC DR CHENI NI CHAGUO SAHIHI KWA SHEREHE YAKO
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleRais Magufuli Ataka Vijana Waache Kucheza Pool table na Badala Yake Wafanye...
Rais John Magufuli leo amewaapisha wakuu wa mikoa wapya aliowateua hivi karibuni na katika hotuba yake amewataka wakuu wa mikoa hao wapya kuhakikisha vijana wanafanya kazi na kuacha uzembe. Rais...
View ArticleRais Magufuli awapa Siku 15 Wakuuu Wa Mikoa Kuondoa Majina ya Wafanyakazi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema jumla ya wafanyakazi 202 katika halmashauri 14 katika mikoa ya Singida na Dodoma waligundulika kuwa hewa na kulipwa mishahara...
View ArticleRais Magufuli Awaapisha Wakuu Wapya Wa Mikoa Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi,Zelote Steven Zelote kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha...
View ArticleVurugu Zanzibar: Bomu Larushwa na Kulipua nyumba ya Kamishna wa Polisi...
Hamdani Omar Makame, Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar Habari kutoka visiwani Zanzibar zinaeleza kwamba, nyumba kadhaa ikiwemo ya Hamdani Omar Makame ambaye ni Kamishna wa Polisi Viswani Zanzibar...
View ArticleMAKALA: Lulu, Kupanda, Kushuka na Kuibuka Tena
Lulu akiwa na Makamu wa Rais Muheshimiwa Samia Hassan SuluhuDar es Salaam. Alikuwa anatambulika kutokana na uigizaji wake tangu akiwa binti wa miaka mitano na umahiri wa kuvaa vyema uhalisia wa nafasi...
View ArticleTupeni Uhuru Tufanye Yetu – Richie
Msanii wa filamu Tanzania ambaye juzi ameiwakilisha vizuri nchi na kutwaa tuzo nchini Nigeria Single Mtambalike au Richie, ameiomba serikali kuwapa uhuru katika kazi zao ili wapate uhalisia wa...
View ArticleWaziri Mkuu Ampa RAS Kagera Siku 5 Ampeleke Taarifa Za Matumizi Ya Milioni...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera na kumpa siku tano Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bw. Adam Swai amletee taarifa juu matumizi ya sh. Milioni 80 ambazo ni...
View ArticleIkulu Yakanusha Taarifa Ya Marais Wastaafu Kupunguziwa Ulinzi
Gazeti la JAMBOLEO, toleo namba 2381 la tarehe 15 Machi, 2016 limechapisha taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho "Magufuli awapunguzia ulinzi marais wastaafu".Taarifa yake kamili ipo katika ukurasa...
View Article