Bakwata Walaani Mauaji Ya Watu Watatu Msikitini Mwanza
Wakati Rais John Magufuli akitoa salamu za pole kwa wakazi wa jiji la Mwanza, kutokana na mauaji ya watu watatu waliouawa kwa kukatwa mapanga wakiwa msikitini, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata)...
View ArticleUPDATES:WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA NIMEKUWEKEA VIKOSI VYOTE VYA JKT..TAZAMA...
Vikosi Walivyopangiwa Vijana kwa mujibu wa Sheria 2016 Tafadhali bonyeza Hapa
View ArticleKajala Amuangukia Rais Magufuli Kuhusu Mume Wake Aliyoko Gerezani Akitumikia...
Mtoto mzuri anayebamba kwenye Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amemuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuwa kama ikitokea akatoa msamaha wa wafungwa,...
View ArticleWatumishi HEWA Waziponza Benki...Benki za Dar es Salaam Zalimwa Barua...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 21 kwa benki zilizokuwa zikitumika kuweka mishahara ya watumishi hewa, kurejesha fedha hizo serikalini ; au kubainisha waliokuwa wakitumia...
View ArticleCCM: Hatutamuadhibu Kitwanga Mara Mbili
CCM imesema kitendo cha Rais John Magufuli kumvua uwaziri Charles Kitwanga kutokana na kuingia bungeni akiwa amelewa, kimedhihirisha kuwa bado kuna baadhi ya watumishi wanaokiuka maadili ya utumishi wa...
View ArticleMAWAZIRI NA WABUNGE WAMIMINIKA KUMPA POLE KITWANGA
Wabunge mjini Dodoma wamiminika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga ,mawaziri na wabunge wamechukua hatua ya BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleHongera Mr and Mrs maengesho kwa kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yenu
drchenitzHongera Mr and Mrs maengesho kwa kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yenu mungu awabariki awasimamie awaongoze kwa kila jambo sherehe yao nilifanya mimi pale Diamond vip tar 7 mwezi wa 5
View ArticleCALL +255 658 194 194 FOR LM I T & BUSINESS CONSULTANCY ONLINE/OFFLINE SOLUTION
CALL +255 658 194 194 BLOG DESIGNING (BLOG YA KISASA)...................................50,000/=BLOG MODIFICATION (KUIBORESHA BLOG)........................25,000/=ADSENSE (BLOGGERS UJIPATIE...
View ArticleTOA ODA YAKO SASA KWA HUDUMA YA MC DR CHENI NI MSHEREHESHAJI BORA ZAIDI TANZANIA
Mc Dr Cheni on the stageFor Booking Please Call Mc Dr Cheni TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo: +255 658 194 194 Lewis Mbonde
View ArticleAunt Ezekiel Aeleza Maumivu Aliyopata Wakati wa Kujifungua Cookie
Msanii wa filamu Aunt Ezekiel amefunguka na kueleza jinsi alivyopitia maumivu makali wakati wa kujifungua mtoto wake wa pekee ‘Cookie’ ambaye ametimiza moja mmoja hivi karibuni.Kupitia ukurasa wake wa...
View ArticleBunge Latolea Ufafanuzi Madai ya Kitwanga Kujibu Swali Bungeni Huku Akiwa...
Bunge Latolea Ufafanuzi Madai ya Kitwanga Kujibu Swali Bungeni Huku Akiwa AmelewaBOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
View ArticleMartin Kadinda: Petit Bado ni Mfanyakazi wa Endless Fame
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema kuwa petit Man bado yupo Endless Fame Films.Hivi karibuni kumeonekana kutokea ugomvi kati ya Petit na Mirror. Taarifa zimedai kuwa ugomvi huo umefanya...
View ArticleIko Siku na Mimi Ntaitwa Mama – Wema Sepetu Afunguka
Iko Siku na Mimi Ntaitwa Mama – Wema Sepetu AfungukaWema Sepetu ana kila kitu anachokitaka duniani, fedha, magari na vingine lakini amekosa kitu kimoja tu muhimu – mtoto.Na Miss Tanzania huyo wa zamani...
View ArticlePaul Makonda: Niliweka Ubinadamu Mbele Nikahudhuria Msiba wa Kabwe
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema licha ya kupewa vitisho kumzuia asihudhurie msiba wa aliyekuwa mkurugenzi wa jiji, Wilson Kabwe, amezingatia ubinadamu na kuweka msimamo kuwa...
View ArticleJB Adai Alizitolea Nje Ofa Tatu za Movie za Kinaijeria
JB si msanii anayezuzuka na filamu za Kinaijeria ndio maana amesema ameshazitolea nje ofa tatu za kuigiza filamu za Kinaijeria.“Natoboa siri ambayo watu hawaijui, nimekataa script zaidi ya tatu Nigeria...
View ArticleBREAKING NEWZZ: SERIKALI YAIVUNJA BODI YA TCU, YAWASIMAMISHA KAZI VIGOGO
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Prof. Joyce Ndalichako amevunja Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania(TCU ) kufuatia BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
View Article