Quantcast
Channel: MC DR CHENI
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli na Mkewe Waguswa na Stori ya Mwanafunzi wa Chuo Kikuu...

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DktJohn Pombe Magufuli, Mkewe Mama Janeth Magufuli na familia yake kuahidi kuchangia Milioni 10 kwaajili ya matibabu ya #Kipepeo Bernadeta Msigwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VITA DHIDI YA RUSHWA SI NGUVU YA SODA - MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema vita inayoendeshwa na Serikali ya awamu ya tano dhidi ya wala rushwa na wale wanaofanya ufisadi siyo nguvu ya soda kama wengi wanavyofikiri.“Serikali ya awamu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Alhamisi ya May 26,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rufani ya Jamhuri Dhidi ya Bosi wa Zamani wa TRA na Wezake Kusikilzwa Jumanne...

Mahakama ya Rufani imepanga kusikiliza rufaa dhidi ya Mwenyekiti wa kampuni inayoshughulikia uwekezaji wa mitaji na dhamana (Egma), Harry Kitilya na wenzake, Shose Sinare na Sioi Solomon juma lijalo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Matamasha ya Ngwair, Mama Yake Akumbukwe- TID

Msanii TID ametoa baraka kwa mtu yeyote anayetaka kufanya kitu chochote ikiwemo matamasha ya kukumbuka kifo cha msanii Albert Mangwea na kuenzi kazi zake kufanya hivyo, ila ni lazima wahakikishe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti Ya Leo Ijumaa ya May 27,2016

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDOGO WA MAREHEMU BILIONEA ERASTO MSUYA AUWAWA KINYAMA

 Anathe Msuya mdogo wa Erasto Msuya bilionea wa Arusha aliyeuawa, amechinjwa usiku kuamkia leo nyumbani kwake eneo la Kibada block 16. Katika tukio lenye BONYEZA HAPA KUSOMAZAIDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chid Benz Akanusha Kutoroka Rehab ila Ameruhusiwa

Msanii Chid Benz amekanusha taarifa zilizopo kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao kuwa ametoroka rehab Bagamoyo, alikokuwa akipata tiba ya kuacha madawa ya kulevya.Akiongea na East Africa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nywele za Wema Sepetu kwa wiki hutumia Sh milioni 1.2

Miss Tanzania 2006, Wema Isaack Sepetu, ameweka wazi kwamba hutumia shilingi milioni 1.2 kwa ajili ya kutengeneza nywele zake kwa wiki moja.  Pia hutumia Sh 30,000 ya chakula kwa siku na kama atanunua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumamosi ya May 28,2016

BONYEZA HAPA KUSOMA KURASA NYINGINE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vote for Diamond platnumz to win BET AWARDS - 2016..."Best international act...

Africa This is how to Vote for Diamond platnumz as best international act Africa in BET Awards 2016 VOTE HERE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Mkoa Afumaniwa Akifanya Mapenzi na Mwanae

Mkuu wa zamani wa Mkoa wa Kaskazini Pemba na mshauri wa Rais wa Zanzibar kisiwani humo, Dadi Faki Dadi amekamatwa akituhumiwa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kambo. BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI NA KUONA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo wa Aje Ilikuwa Suprise kwa Wema Sepetu – Alikiba Afunguka

Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live, Alikiba almesema wimbo huo hajamuimbia Jokate na wala hajawahi kumuimbia mtu yeyote, bali aliimba kwa ajili ya mashabiki wake.” Sijamuimbia mtu yeyote kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wimbo wa 'Panya' Wakiponza Kitua cha EATV, Chapigwa Faini ya Milioni 3 na TCRA

Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), imevitoza faini vituo vya East Africa Television na Entertaiment FM (E- FM) baada ya kukiuka kanuni za utangazaji.Akisoma nakala ya hukumu hiyo mbele ya waandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumapili ya May 29,2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge Waibana serikali Matukio ya Mauaji Mwanza

WAKATI matukio ya mauaji ya kikatili yakiendelea kuripotiwa kwenye maeneo mbalimbali nchini, Bunge limeitaka serikali kukomesha kadhia hiyo mara moja ili kuepusha maafa zaidi kwa watu wasio na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama Yataifisha Ng’ombe 1,312 Kwa Kosa la kuchunga ndani ya Hifadhi ya...

MAHAKAMA ya mkoa wa Katavi imetaifisha ng’ombe 1,312 walioingizwa na kuchunga ndani ya hifadhi ya wanyamapori ya Rukwa huku washtakiwa watatu wakinusurika kutumikia vifungo vya miaka miwili jela baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera Mr and Mrs josephat harusi yenu ilinoga sanaaa

 Hongera Mr and Mrs josephat   Maharusi wakicheza muziki Mc Dr Cheni akifanya yakeFor Booking Please Call Mc Dr Cheni         TIGO : +255 713 620 865VODACOM: +255 754 222 201Manager: Lewis MbondeTigo:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii wa filamu wafanya misa ya kumbukumbu ya kifo cha Rachel Haule

Wasaii wakiwa mbele ya kaburi la Rachel HauleWasanii wa filimu nchini wakiongozwa na Odama, Ijumaa hii wamefanya misa ya kumbukumbu ya kifo cha msanii wa filamu Rachel Haule.Wasanii mbalimbali kama Ray...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazeti ya Leo Jumatatu ya May 30,2016

View Article
Browsing all 2428 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>